labda hayo mengne ila kuhusu UREMBO hana hatanukta
Kama hajakutuma hii kazi basi sijui dhumuni lako ni nini sababu inakoendea....msijekulaumiana tu!!!!!!!!
mh unataka uambiwe tunayoyajua!!!!!!??
Nani Anakula??
Mhhhhh..
ila kwa sifa ulizotaja hapo juu hata mie ni a good exmple kwa mabint.........
sema nimemis umaarufu tu lol
She is not that beautiful bt she is very intelligent and blessd.she is one of my TZ icon....people can say mean things to her bt she is still rocking....well like a rock star......
Na watalaumiana muda si mrefu
Ukitaka kujua maasi ya mtu, mweke kati watu wam-diskasi, kuna watu wana mafaili ya watu hadi unashangaa
Amefanana kweli na baba'ake!!!!A good example kwa mabinti....
we unafikiri angekua moja ya wanafamilia yetu huku ambao hatufahamiki, iyo nafasi angeipata?
Huyu ni mzuri lakini siyo mremboA good example kwa mabinti....
Ahsante kwa honest opinion yako...Beauty ni perception ya mtu na nadhani upo sahihi kwa upande wako.
And yes...She Rocks!
Kama hajakutuma hii kazi basi sijui dhumuni lako ni nini sababu inakoendea....msijekulaumiana tu!!!!!!!!