Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

Beauty With Brains: Mwamvita Makamba!!

do u knw the meaning of blessing?????usidhani maisha ya Sasha na Malia Obama yatakuwa ordinary like other citizens...nop.....washabarikiwa kwa baba yao tu kuwa Rais wa America...the same goes to Mwamvita.

Please hebu tofautisha "ascribed" versus "achieved" status halafu uingize neno "baraka" katika hayo mawili!!!!

Yaani ni baraka kuzaliwa katika familia ambayo imekuwa hivyo ilivyo kwa nguvu ya mikono na akili????!!!!

There is what we call "process and mechanism" underneath the observed phenomenon sasa huwezi sema hivyo ni baraka yaani hii ni mapenzi ya Mungu!!!!!!????Typical "functionalist" perspective!!!!!Kept in place to hide the "causal effect relationship" between what is observed and the causative agent(s)!!!!!!!
 
She is blessed.......And no matter what......,no one can take that away from her.......Kumbuka pia MUNGU ni wa wote.
 
Ww nawe kwa mtazamo wako huu ni kama yy tu, maaana ipo wazi kabisa ww ndio unaoficha uhalisia. She is not cute anyway to my eyes. she always after big dough without considering the impact of it to her body. hana tofauti na yule aliyekwenda Congo baada ya kukimbia TBL na ss amerudi.

Nimecheka kidogo sababu nilikuwa na-imagine the tone of your voice kama ungesema haya maneno kwa sauti.....Niishie hapo.
 
Muanzish uzi unamtetea sana demu wako..au hujawahi ona totoz classic kuliko hii naona umepagawa mbaya

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Muanzish uzi unamtetea sana demu wako..au hujawahi ona totoz classic kuliko hii naona umepagawa mbaya

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Maths,
Mimi ni mwanamke.
Strange huh?
 
Kitengo cha uzuri hata robo hana sioni kigezo chochote cha kumwita mzuri nadhani ni juhudi zake kuwa ni mwanamke anaejituma ila yaliyo nyuma ya pazia hatuyajui tumwachie ngoswe
 
Kwa kwrli simjui...sijui ndo nani hapa..ila jina lake limefanana na mwehu mmja hivi alikuwa katibu wa ccm
...uzuri hana hivyo vinginr sijui maana sijawahi kuwa naye karibu.....lakini mbona unatumia nguvu nyingi kumdefend?....kuna nini kati yako na yake?....kama we siyo muhusika mwenyewe basi umetumwa
 
kama huyu akiitwa Mzuri sijui nani ataitwa mbaya...
 
Mimi nadhani Mwamvita Makamba ni mwanamke mzuri na aliyeweza kufikia mafanikio yake kwa kiasi chake. Kwani kuna ubaya gani kwa umleta uzi kudai Mwanvita Makamba ni mwanamke mwenye mafanikio? Mbona title ipo positive na inaakisi kile alichonacho Mwamvita, je hilo ni tatizo?

Wapo wengine wanaofanya vizuri.

Modesta Lilian Mahige.

Nancy Sumari

Irene Kiwia

Na wengine wengi wanafanya vizuri je kunaubaya gani kusifia dada zetu wanaofanya vizuri?
 
We Nkasi mi simjui vizuri huyu dada. Nakumbuka alikuwa mfanyakazi kwenye moja ya makampuni ya simu hapa Tz. Mara ya Mwisho niliona wanaonyesha nyumba yake iliyosemekana ni ya around Tsh 500ml. My Take. Kama ni kweli mfanyakazi tu cdhani kama anauwezo wa kujenga nyumba ya thamani hiyo kwani analipwa bei gani? Pia anabiashara gani hapa mjini siamini kama mshahara tu unaweza kumfikisha hapo alipo. Ila kuhusu urembo kwa kweli hapa umemuonea, pamoja na kujipodoa hamna kitu.
 
Hapana huu uzi utamfunika nguo zake sababu naelewa wanachodhani wanajua watu kuhusu wengine.....ni pure evil kutunga habari au kupotosha taarifa za mtu ili tu kutaka wengine waamini unavyotaka waamini.....Sisemi she is perfect,but she has the right to make mistakes like the rest of us and thats on her......Nimemuweka sababu ana vingi vizuri kuliko vibaya vinavyosemwa ans thats unfair.

We unaongea kama nani? Mhusika Mkuu au maana unavojitahidi kumuelezea ni kama unamjua in and out.
 
Back
Top Bottom