FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Mash'kuura yaa ukh'y FF.
Hata mimi naingia wasi wasi na huo U-Profesa wake isije kuwa kama ule wa Maji Marefu.
Mwenye CV yake jamani naomba tafadhwali aiweke hapa. Tusije pata dhunuub kwa dhan'na.
Ndugu yangu utakuta Hirji ana CV ndefu hapa mpaka Dodoma lakini umakini ndiyo kama huo kwenye post namba 1 anapingana na historia kwa "Hypothetically Data". Halafu ana justify kwa cadaver wa medical students!
Sijui ndiyo huyu aliyeiingia anajiita kfhirji?
Last edited by a moderator: