FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
I don't confuse hypothetical data will real data. But I question any hypothetical data which is paraded as real.
You call "hypothetical... data" something which is there?
I don't confuse hypothetical data will real data. But I question any hypothetical data which is paraded as real.
You call "hypothetical... data" something which is there?
Soma tena, hivi ukisoma huelewi au ndiyo hizo shule mmeenda kufundishwa ujinga?
Kitwana Kondo amesema anayo ripoti na ameyasema hayo bungeni na hakuambiwa bungeni alete ushahidi na bungeni ni nani asiyejuwa kuwa ukisema uongo unaambiwa amma ufute kauli yako amma ulete ushahidi na ukishindwa kuuleta ushahidi unaadhibiwa kwa kanuni zao. Sasa wewe unaepinga hayo ya Kitwana Kondo, tuoneshe ni wapi bungeni aliambiwa kuwa hayo si ya kweli, migalatia iliyojaa pale ingemwacha? Fikiri japo kiduchu.
Huu ni ugonjwa wetu waAfrika, tunapenda KUSIFIWA TU. Hatupendi mtu atoe fikra kinzani dhidi ya mitazamo tunayoishikiria.
Soma tena, hivi ukisoma huelewi au ndiyo hizo shule mmeenda kufundishwa ujinga?
Kitwana Kondo amesema anayo ripoti na ameyasema hayo bungeni na hakuambiwa bungeni alete ushahidi na bungeni ni nani asiyejuwa kuwa ukisema uongo unaambiwa amma ufute kauli yako amma ulete ushahidi na ukishindwa kuuleta ushahidi unaadhibiwa kwa kanuni zao. Sasa wewe unaepinga hayo ya Kitwana Kondo, tuoneshe ni wapi bungeni aliambiwa kuwa hayo si ya kweli, migalatia iliyojaa pale ingemwacha? Fikiri japo kiduchu.
Mapagani= Wapagani. Nadhani huu ndio upatanisho wake kisarufi. Mswahili mwenzio FaizaFoxy anisaidie.Kandukamo1,
Nisikilize ndugu yangu.
Ukweli nilichukia lakini ile kuwa hapa nazungumza na wewe ni kuwa haya
yamepita.
Unajua huenda wako watu wako hapa kufanya mzaha.
Mimi siko hapa kutaniana na yeyote yule.
Ndiyo unaona nimekuja na jina langu halisi.
Mara kwa mara sisi Waislam tunapokuja na jambo zito kwetu tutaambiwa
na hawa mapagani na wao wakitaka?
Wasema hivyo ilahali wakijua sisi si watu wa kufanananishwa na yeyote.
Sisi tuna historia ya pekee katika nchi hii.
Na yako mengine lakini tuishie hapa.
Sasa mimi nahisi wewe ni mjuzi na unajua katika shule ya msingi sekondari
huwezi kuja na "variable," hiyo ya upagani.
Nikachukia sana.
Nikasema hawa wanataka hadi nchi hii iangamie ndipo tutanabahi?
Wanadhani hapo itakuwapo tena nafasi ya kulaumiana?
Tuendelee na mnakasha...
Naamini ushanifahamu.
Juu ya yote hayo tusameheane.
Baba/Babu yangu.
Dk.Mohammed Said.
nataka uniweke sawa..vitu kadhaa.
unachopigania hasa ni omission ya wazee wako katika hostoria ya Tanzania.
au unapigania waisilamu kuwekwa kwenye historia ya Tanzania kwa sababu ya kusahaulika.
au unapinga dhulma ya wazee wako waliofanyiwa na nyerere.
au unapinga dhulma waliofanyiwa waislamu na nyerere.?!
labda niseme unapigania watu maalumu na dhulma walizofanyiwa kwa kuwa ni waisilamu,au upo genera?!..
yaani unapigania waisilamu kwa ujumla?!
khaaaaah!! Wewe una matatizo, Peter Serukamba F**K YOU mbona hakuambiwa kitu?
hivi upuuzi wa bunge linaloongozwa kipuuzi ndiyo unatumia?
Kumbe siku hizi ukiwa unaandaa paper unachukua hadi maneno ya akina Asumpta Mshama eti kwa kuwa wako bungeni?
Mapagani= Wapagani. Nadhani huu ndio upatanisho wake kisarufi. Mswahili mwenzio FaizaFoxy anisaidie.
Mzee Mohamed Said, mimi nilikua sina hata chembe ya mzaha katika swali nililokuhoji, mbali ya upeo wangu finyu ktk hisabati lakini hilo nililolihoji niliona tatizo. Uliponiambia umekasirika juu yangu nilifadhaika sana kwa nini nimekuudhi? Niliamua kukaa pembeni kwa kuwa sikualikwa ktk baraza.
Sister FaizaFoxy,Fikra kinzani za kufikirika? "hypothetically... Data.." na fikra kinzani zisizojuwa Mau Mau hawakupigana na Wajerumani?
Sasa hapo ni fikra kinzani au fikra potofu?
Hebu tuwe wakweli japo kiduchu.
Nadhani hapo kwenye bold pekee palitosha Mohamed Said kuto jibu hoja kutoka matini chanzi. Kwa sababu sikumbuki kama amewahi kutoa utafiti unaohusu hapo penye bold ambapo hapatuhusu. Mimi nakuomba unisaidie kujibu hoja ya 71waislamu+29wakristo=100.Fikra kinzani za kufikirika? "hypothetically... Data.." na fikra kinzani zisizojuwa Mau Mau hawakupigana na Wajerumani?
Sasa hapo ni fikra kinzani au fikra potofu?
Hebu tuwe wakweli japo kiduchu.
I have not said that anywhere.
I don't confuse hypothetical data will real data. But I question any hypothetical data which is paraded as real.
Nadhani hapo kwenye bold pekee palitosha Mohamed Said kuto jibu hoja kutoka matini chanzi. Kwa sababu sikumbuki kama amewahi kutoa utafiti unaohusu hapo penye bold ambapo hapatuhusu. Mimi nakuomba unisaidie kujibu hoja ya 71waislamu+29wakristo=100.
Muungwana hakasiriki ktk masuala ya kitaaluma. Yeye kaona sikustahili kubwabwajiwa ndio maana akajirudi kiungwana kunitaka radhi kiungwana. Au mkubwa kujirudi kwa mdogo ni dhambi?Hapo huna hoja unahororoja na kubwabwaja bila mpango. Mohamed Said kishakupa jibu zuri sana tena la kiuungwana kabisa, kama unajuwa uungwana ni nini.
Iyo paper nimeisoma tangu jana usiku na swali langu nilimhoji tangu post 18 alobandika lakini hakunijibu.Utakumbuka wapi na wewe unaonesha hata paper ya Mohamed Said inayoongelewa hapa hujaisoma. Nenda kaisome utakuta kaongelea Mau Mau, lakini si kama Professor Hirji alivyopotosha katika post namba moja.
Hiyo hoja yako mbona nimeijibu zamani sana, rudia post namba
Nadhani hapo kwenye bold pekee palitosha Mohamed Said kuto jibu hoja kutoka matini chanzi. Kwa sababu sikumbuki kama amewahi kutoa utafiti unaohusu hapo penye bold ambapo hapatuhusu. Mimi nakuomba unisaidie kujibu hoja ya 71waislamu+29wakristo=100.
Kwani hilo neno la Serukamba ni uongo? Fikiri.
Hebu tueleze sasa, Mau Mau walipigana na Mjerumani?
Mohamed Said
Sijui kama unaona jinsi mijadala ya kifikra inavyogeuga kuwa mijadala ya kashfa na matusi
Nilidhani ungeongoza katika kujibu hoja za Hirji ili tupate pande zote mbili za shilingi!
Kinyume chake tunaona picha na matusi.
Ningeshauri upitie hoja za Hirji ili kulitendea haki jamvi. Inavyoonekana nyuzi zinazokuhusu zinaambatana na matusi, sijui kama ungependa unasibishwe na hilo.
Umepata jibu kwanini wale uliosema 'wenzetu' wanakimbia jamvi? maana kuna tofauti kati ya jamvi na amvi! oops!
Ni ushauri tu