Haina shida nani alianza kuandika;...........
Umepotosha historia kwa kiwango kikubwa, . Unataka watu tuamini masimulizi hayo kwa sababu tu wewe umesema ukitumia kurunzi ya dini kutulazimisha kuona. Bahati mbaya wapo ambao wamekubali haya kwa sababu kutokubali kungewafanya wapoteze umoja ambao wanaamini unausimamia; umoja ambao msingi wake ni dini.
Mtu yeyote ambaye ataamua kukusoma kwa ukosoaji yakinifu kwa hakika atafikia mahitimisho hayo hayo aliyofikia Profesa na labda zaidi.
Mzee nwanakijiji unapojaribu kujadili masuala ya Mzee
Mohamed Said basi jaribu kuwa makini sana na maneno yako.
Umeandika mengi yasio na tija lkn nataka nigusie point chache hapa.
Kwanza wewe kuandika kuwa maneno ya mzee mohamed ni ya kwake mwenyewe hilo Ni UONGO wa Wazi kabisa.
Mzee Mohmamed siku zote hutuwekea vitu ambavyo km wewe ni mtaka kujua ukweli wake basi atleast una pakuanzia na Vitabu vya historia Vipo vingi tu vya Waandishi Tofauti Na Yeye Mzee Mohamed ambavyo Unaweza kupata BAADHI ya reference japo Sio ZOTE.
Lkn Tatizo lenu kubwa umeliweka ktk Hio paragraph yako ya mwisho ambalo umesema, na nakuquote ".. Mtu yeyote ambaye ataamua kukusoma kwa ukosoaji yakinifu..."
Sasa toka lini atakae kuelewa anasoma kwa lengo la KUKOSOA?
Wewe na hao wenzako Kila akiandikacho Mzee
Mohamed Said Mnakisoma kwa lengo la KUMKOSOA.!!
Nakuuliza, hii ni tabia Ya Mwenye kutaka kuelewa? Au Tabia ya Mlevi mpinzani wa timu za mpira?
Soma Kwa lengo moja tu! Nalo ni KUJIFUNZA.
Na Ikitokea Kuna issue ambayo Hukubaliani Nayo Basi Mzee Mohamed siku zote Yupo hapa Jukwaani kwa Ajili ya Kujibu Hoja zenu na maswali yenu.
Na mwisho hapo Unaposema Kuwa maneno yake mzee Mohamed Anayakubali Yeye peke yake. Hilo sio kweli hatta kidogo.
Kwa taarifa Tu Maneno ya mzee
Mohamed Said Yanasomeka ulimwengu Mzima ktk Sehemu Mbalibali.
Na mzee huyu wala Hategemei JAMII Forum Kufikisha Ujumbe kwa jamii.
Sio km wengi wenu siku mlivyo,
Siku JF ikifungwa na Nyie wote mnakufa kifo cha Ghafla.
Siku njema.