THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,545
- 14,803
Mudeer we mwenyewe unalijua hilo fika.
Sisi kila ulipo wewe kazi yetu ni kuweka kambi tuh,,na hatubanduki labda uondoke wewe.
Na sio kama tunajitamba hapana LA HASHA TUNAJUA ALLAH KAKUJAALIA HIKI KIPAJI NA MASHAALLAH HUFANYIII CHOYO ILM HIYO,
SISI TUNAJUA FIKA TUPO KWENYE WINNING TEAM.!!
YANI KAMA NI BONDIA BASI WEWE NI
MUHAMMAD ALI.
KINA NGURUVI3 LAZIMA WARUSHE TAULO

Kandukamo1,![]()
Unang'ang'ania kuwalazimisha wanafunzi wawe mapagani.
Ilishafanyika tafiti na Warsha mwaka 1981 kuusu matatizo haya haya ya
dhulma katika elimu kwa Waislam.
Hicho kipengele tunakijua sana.
Nilishawishika kukupuuza kwa kuwa hakika nimekasirika.
Nasema moyoni hivi huyu anajiona yeye ndiyo mwenye elimu peke
yake na sisi sote ni mbumbumbu hapa pamoja na Mzee Kondo?
Mzee Kondo kasoma Howard University, Washington DC.
Kozi yake ilikuwa Strategic Studies.
Hilo si swali la kutuuliza sisi.
Fanya utafiti wako na tuletee idadi ya wanafunzi mapagani hapa JF.
![]()
Katika Mahojiano na Mzee Kondo Nyumbani Kwake Upanga, Dar es Salaam