Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

jiulize tena mzee Mohamed Said kwa nini kitabu chako hakipo Tanganyika Library? UDSM ni marufuku kukitumia kama rejea! Kwa nini?
 
My cousin K. HIRJI is an opportunist trying to sacrifice Prof. Mohammed Said at a behest of publicity that is all. Indeed if Mr. Mohammed Said had not dared written this version of history Karim would not peep out of his comfort zone.

why would he write something which is not there?
 
Mzee Mwanakijiji anaita historia za hisia "HISTOHISIA"

Prof Karim anasema beating drums on one side confusing both

Nyakageni,
Mwanakijiji mweke pembeni.

Yeye nilimpa changamoto ya kuandika historia ya kweli kama anavyoiona
yeye.

Usimlete katika mjadala huu.
Huu ni uwanja wa Prof. Hirji na wengine.

Kuna ushahidi huu nimeuleta hapa nimependa kusikia majibu:

Katika uzi huu nimeweka kisa cha
Sergeant Rashid Zahaki kama kilivyoandikwa
na Prof. Njozi katika kitabu chake "Muslims and the State in Tanzania.''

Ningependa kusikia majibu labda kutoka kwa wahusika kuwa Wizara
ya Elimu haikuhujumu vijana wa Kiislam walifanya mtihani ile.

Nimeweka pia hutoba ya Mzee Kitwana Kondo ndani ya Bunge mwaka 1999
alivyoonyesha dhulma katika elimu kwa vijana wa Kiislam.

Ningependa pia kusikia Wizara ya Elimu ikitoa kauli kuwa haihujumu vijana
wa Kiislam katika elimu.

Itakuwa bora badala ya mtu kuleta majibu ya kufagia akaja na majibu ya
maana kujibu ushahidi huo nilioweka.

Maelezo ya Zahaki kama yalivyoelezwa na Prof. Njozi yako hapa katika uzi.
MAUWAJI YA MSIKITI WA MWEMBECHAI 1998 - Mohamed Said

Maelezo ya Mzee Kondo pia yako hapa katika uzi.
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999 - Mohamed Said
 
jiulize tena mzee Mohamed Said kwa nini kitabu chako hakipo Tanganyika Library? UDSM ni marufuku kukitumia kama rejea! Kwa nini?

Because the truth hurts and is denied here because of personal interst by the like of you Nyakageni who likes character killing.

Nyerere was a genius in obfuscation, he could use words to insult you in public and yet you will clap hands leaving the arena smiling and when you come to realize it is too late.

And his art is like when he nationalized the colonial days era church schools for instance and yet he allowed the church to build more schools with MOUs while advocating the so called secularism in the government (Command & Control tactics) and deniying the same previleges to Muslims while we the Sikh and the Hindus enjoyed our previledges too. What minorty does he Hirji talkes about is it because The Agha Khan maintained ownership of their facilities?

Hirji is doing the same of what he accuses Prf. Muhammad Said.

Why does Dr. Hirji does not point this.
 
Last edited by a moderator:
Nyakageni,
Mwanakijiji mweke pembeni.

Yeye nilimpa changamoto ya kuandika historia ya kweli kama anavyoiona
yeye.

Usimlete katika mjadala huu.
Huu ni uwanja wa Prof. Hirji na wengine.

Kuna ushahidi huu nimeuleta hapa nimependa kusikia majibu:

Katika uzi huu nimeweka kisa cha
Sergeant Rashid Zahaki kama kilivyoandikwa
na Prof. Njozi katika kitabu chake "Muslims and the State in Tanzania.''

Ningependa kusikia majibu labda kutoka kwa wahusika kuwa Wizara
ya Elimu haikuhujumu vijana wa Kiislam walifanya mtihani ile.

Nimeweka pia hutoba ya Mzee Kitwana Kondo ndani ya Bunge mwaka 1999
alivyoonyesha dhulma katika elimu kwa vijana wa Kiislam.

Ningependa pia kusikia Wizara ya Elimu ikitoa kauli kuwa haihujumu vijana
wa Kiislam katika elimu.

Itakuwa bora badala ya mtu kuleta majibu ya kufagia akaja na majibu ya
maana kujibu ushahidi huo nilioweka.

Maelezo ya Zahaki kama yalivyoelezwa na Prof. Njozi yako hapa katika uzi.
MAUWAJI YA MSIKITI WA MWEMBECHAI 1998 - Mohamed Said

Maelezo ya Mzee Kondo pia yako hapa katika uzi.
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999 - Mohamed Said

Unataka tuwasome watu wanao taka kutumia dini ya kiislamu kuficha udhaifu wao na kutafuta utukufu? Kitwana Kondo ni mmoja wa trustees wa Morogoro Muslim University mbona chuo kinawafia mikononi? Achana na wendawazimu wako wa kuwagawa Watanzania.
 
Matumbo,
Nukuu ndiyo ushahidi wa majibu ya maswali.
Ukikataa nukuu yaani rejea sasa hapa tutatunia nini kutia uzito hoja zetu?

Critique haitoshi kujibu kitabu changu.
Nitakupa mfano mdogo kutoka kwako mwenyewe.

Kabla ya mimi kuandika habari za Abdul Sykes wewe ulimjua na uliyajua
yote aliyofanya katika TAA, TANU na kwa Nyerere mwenyewe?

Hutoweza hata siku moja kunijibu kwa "critique," ikiwa mimi katika hayo
nimesema uongo.

Majibu ya uongo wangu utaweza kuyaleta kwa wewe kueleza ukweli.
Ukweli huu hutaweza kuueleza ila uandike kitabu.

Mimi nimejibu kitabu cha Historia ya TANU ya Chuo Cha Kivukoni si kwa
kupiga "critique" kile kitabu bali kwa kuandika ukweli.

Ndiyo leo tuko hapa tunajadili kitabu changu.
Lakini kwa nyinyi kukaa na kupiga "critique," hamtafua dafu.

Jibu ni kuja na kitabu kingine kitakachoeleza "ukweli."

Unachotakiwa ni kujibu hoja za Profesa na si kubandika nukuu za malalamiko ya kina KK haya hayataleta majibu ya hoja zaidi ya kutafuta huruma. Wewe unaeleza uhuru umepiganiwa na waislamu mwenzio kaja na facts kwamba uhuru ulipiganiwa na watu wa imani zote na origin zote, unakumbia hoja sababu uliandika uongo mwanzoni.

Kuhusu mzee sykes sikuanza kumsikia kwako nilishamuona na kusikia habari zake tangu nikiwa mdogo alikuwa anakuja kwa mzee malapa. Ila kwangu hajawai kuwa mtu muhimu wa kumfatilia.

Baba wa taifa Mwl Nyerere aliita watu wenye udini ni watu wenye mawazo ya kijinga . Kumbe aliona mbali.
 
Nyakageni,
Uongo unasema wewe.

Wahusika wako kimya.

Wahusika ni akina nani? Its people who make history

Prof Hirji kagundua premises zako, moja ni hii kuwa the government is against islam!

na kasema conclusion yako ni animosity inayolenga kugawa watu kidini
 
Mohamed Said Unamuuliza Prof. Hirji swali ambalo amekwisha lijibu katika makala yake tena kwa umakini mkubwa sana. Amezungumzia distortion ya historia sio Tanzania peke yake bali sehemu nyingi sana na mifano ametoa.

Hili pia linajibu hoja yako kwamba kwa nini hakuanza kueleza hadi wewe ulipotoa mawazo yako. Bila shaka amekerwa na upotoshaji wako. Kila kitu unakieleza kama uonezi kwa kwa waislamu. Angalia kumbe wakati wa utawala wa mjerumani waislamu walitumika sana na wakoloni hao kufanikisha mambo yao. Waingereza waliofuata waliwatumia wakristo. Katika awamu hizo, wakoloni hawakuwa na mapenzi na ama waislamu au wakristo - waliangalia maslahi yao tu.

Sina uhakika Prof. Shivji ameingiaje katika hoja yako!
Alimaanisha Prof Hirji, kiwewe kina mambo!!! mtu kashikwa tembe, inauma bwana!

Tulichowahi kusema ndicho alichosema Prof. Tukaambiwa hatupo Oxford
library
 
Nyakageni,
Mbona hili swali umelipeleka sipo?

Swali hili ungewauliza Tanganyika Library na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

nawe pia nakuuliza, kwa nini wakatae vitabu vyako? Sina hakika na MUM ambako mkuu ana mentality kama yako
 
Kongwamaji,
Mimi naijua historia ya TANU kuliko mtu yoyote hapa JF.

Ikiwa wewe unamjua yeyote yule anaeweza kupambana na mimi katika historia hii mlete.

teh teh teh

Mudeeer nakusoma sana mwalimu wangu

HAPA SASA NISHASHIBA BIRIAN YANGU SWAAFI NASHUSHIA NA JUICE YA TENDE MIXER NA MAZIWA MTINDI BARIIIDII,,

SIBANDUKI HAPA LEO

NA WE MWENYEWE SI UNAJUA??

UNGURUMAPO WEWE KWANI MTAMBA NANI??

HAKUNA MWENYE UBAVU HUO,,THATS WHY UNATUONA SISI TUNATARADADII KWA RAHA ZETU MUSTAREHE

WINNING TEAM HATARIII,,,
 
Wahusika ni akina nani? Its people who make history

Prof Hirji kagundua premises zako, moja ni hii kuwa the government is against islam!

na kasema conclusion yako ni animosity inayolenga kugawa watu kidini

Nyakageni,
Hayo mimi si wa kwanza kuyasema.

Msome Bergen (1981), Msome Sivalon (1992), Msome Njozi (2000).
 
Wanasema mara nyingine ukimya ndio jibu la mjinga . Uhenda wametumia falsafa ya mpuuzi mpuuze.
Matumbo,
Ikiwa kama usemavyo huenda wametuona wajinga hivyo wametupuuza hilo vilevile sawa pia.
 
Alimaanisha Prof Hirji, kiwewe kina mambo!!! mtu kashikwa tembe, inauma bwana!

Tulichowahi kusema ndicho alichosema Prof. Tukaambiwa hatupo Oxford
library

Hapa kina nyinyi hamuwezi pata pa kuchomokea hata kwa kuwanga

teh teh teh

Hakuna aliemkataza yeyote kuandika historia ya wale ambao kwa namna moja ama nyingine anaona wamesahauliwa au wameumizwa na utawala wa serikali flan flan iliyopita

SASA KAMA HUYO PROFESA ANASEMA KWENYE UTAWALA FLAN MFANO UTAWALA WA NYERERE WAKRISTO WALIONEWA NA KUKANDAMIZWA NA MFUMO BASI RUKSA KWAKE KUANDIKA HISTORIA NA KUWEKA USHAHID

KAMA MSOMI WETU MWANAHISTORIA MOHAMED SAID ALIVYOJARIBU KUANDIKA NA KUWEKA USHAHID WA WAZI WAZI

NI SUALA LA KUKAA CHINI NA KUFANYA UTAFIT KISHA KUANDIKA NA KUUTANGAZIA ULIMWENGU

HUYO PROFESA KAMA KWELI ANGEKUWA NI MIONGONI MWA WASEMA UKWELI AMBAO ANASEMA ALIKUWA ANAUFAHAM ALIPASWA AUELEZE VILE VILE

ASISUBIRI WATU WAKAE CHINI WAANDIKE KISHA NAYEYE AJE KUANZA KUSEMA KWAMBA HAIKO HIVYO TENA BILA KUWEKA USHAHID WA WAZI KUPINGA HIKO KILICHOANDIKWA NA MTAALAM MOHAMED SAID

VIPI BWANA PROFESA ANATAKA KUSAFIRIA NYOTA YA MTAALAM MOHAMED SAID??

AMECHELEWAA,,AU LA BASI AJE NA USHAHID WA KUBACK UP HOJA YAKE.

:rockon: :rockon: :heh:
 
Back
Top Bottom