BBC: Magufuli prefers Chinese to Western

Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

P
Masharti kama kuheshimu haki za binadamu yana ubaya gani? Au tusiuzie silaha nchi zinzokiuka haki za binadamu kuna ubaya gani wakati mwingine muwe mnataja na masharti kuliko kujificha nyuma ya kichaka cha uhuru wa nchi
 
K
Raisi magufli (as a person) ameprove kua moja ya viongozi wenye ujasiri wa hali ya juu sana kutokea nchini kwetu. serikali kama taasisi iweke mfumo mzuri wa kumuongoza na kumchallenge (kuweka checks and balance) kwa manufaa ya ustawi wa Tanzania kama nchi...maana hao westeners anaowaambia ukweli kiuhalisia wana nguvu kuliko nchi moja moja ya kiafrika. viongozi wengi wa kiafrica waliojaribu kupambana nao walishindwa ( refer Mugabe alipojaribu nini kiliikuta sarafu yake, refer pia Ghadafi alipowagusa nini kiliikuta libya) na afrika ikawa inatizama tuu. si mbaya kuwa jeuri kwa maslai mapana ya nchi yetu..lakini kwa mazingira tuliyopo ya kimataifa hili lifanywe kwa utaalam na uangalifu mkubwa sana maana afrika ukibuma umebuma mwenyewe hamna umoja wala uzalendo wa kusupportiana zidi ya kutoa matamko ya 'kulaani vikali' na kutoa pole
Kama unayajua yaliyowafika sasa kwanini unamshauri afuate njia hiyohiyo
 
China ni ally wa TZ tokea 60s na ni Nyerere aliye uasisi huu ushirikiano mbn wa Tz tunakuwa kama hatuna akili hata history hamjui sasa Magu si anapita kule jk,Ben na Nyerere alikopita why matusi kwa jpm?
Point na pesa za wazungu anapokea na ndio wanaochangia budget yake. Sie wengine unafiki ndio hatutaki sababu juzi kawashobokea sana WB sasa haya maneno alipaswa kuwaambia wazungu wanapomtembelea sio watoto wa chuo.

Wachina wametoa libray lakini wazungu wanamjengea flyover na barabara ya mwendo kasi na kuchangia budget si akatae tu.
 
Huko kwao ndio kuna democracy?Vipi huko Libya baada ya Gadaf watu sasa wanaishi vizur?Mzungu anajua Africa kuna mapimbi wengi sana na ndio maana anakuja na viterm kama democracy, freedom of expression nk.

Shida ya Libya ni Gaddafi kulazimisha kuendelea kuwa kiongozi wa nchi hiyo. Laiti angetoka kwa amani nchi ingeendelea kuwa na amani kwa kufuata utaratibu. Yeye kakaa madarakani zaidi ya 30yrs, na kuua kabisa mfumo wa uchaguzi huru kama magu anavyotaka kufanya hapa. Matokeo yake katolewa kinyama kama alivyokuwa anafanyia wengine bila utaratibu.

Hivyo unavyosema vijiterm vya wazungu huko kwao tunaona ndio vinavyotumika na 90% ya mambo yao yanafuata utaratibu na sio kutii viongozi wenye mihemko. Na ushahidi wa wao kufuata utaratibu ni kiwango chao cha maendeleo na kustaarabika.
 
K

Kama unayajua yaliyowafika sasa kwanini unamshauri afuate njia hiyohiyo

Sijamshauri apite njia hiyo....tumemuona akianza kuipita hyo njia......na kwa mfumo tulio nao hamna mtu mmoja mmoja mwenye uwezo wa kubadili hilo.
 
Shida ya Libya ni Gaddafi kulazimisha kuendelea kuwa kiongozi wa nchi hiyo. Laiti angetoka kwa amani nchi ingeendelea kuwa na amani kwa kufuata utaratibu. Yeye kakaa madarakani zaidi ya 30yrs, na kuua kabisa mfumo wa uchaguzi huru kama magu anavyotaka kufanya hapa. Matokeo yake katolewa kinyama kama alivyokuwa anafanyia wengine bila utaratibu.

Hivyo unavyosema vijiterm vya wazungu huko kwao tunaona ndio vinavyotumika na 90% ya mambo yao yanafuata utaratibu na sio kutii viongozi wenye mihemko. Na ushahidi wa wao kufuata utaratibu ni kiwango chao cha maendeleo na kustaarabika.
Democracy ingekua inaleta maendeleo basi huko Libya hali ingekua nzur sana na nchi nyingi sana za Africa zingekua juu sana kiuchum kisa kuna democracy. Huko kwa akina Putin, trump,Israel nk hakuna democracy yyt ile lkn ndio nchi zenye maendeleo makubwa duniani. China huko ndo kabisa saiz kuna Rais wa miaka yote.Nchi maskini kuhubiri democracy naona ni UPUMBAVU. Mliletewa democracy ili waweze kuwatawala. Leo mzungu anapita humohumo kwenye democracy kupenyeza watu wake watakao beba agenda zao.
 
Tanzania's President John Magufuli has said he prefers Chinese to Western aid as it comes with fewer conditions.

Mr Maugufuli has been under intense pressure from Western nations over his controversial policies.

On 15 November, Denmark said it had suspended $9.8m (£7.5m) in aid because of "unacceptable homophobic comments" by a Tanzanian politician.

China has become a major investor in Africa, challenging Western influence on the continent.

It has promised to spend $60bn in investment, aid and loans in Africa over the next three years, mostly in infrastructure development.

"The thing that makes you happy about their aid is that it is not tied to any conditions. When they decide to give you, they just give you," Mr Magufuli said.
They give you even if it is used to kill your own people! Shame on you
 
Watanzania kelele nyiiingi lkn matokeo ni ziro, sijui nani anawalazimisha na hiyo misaada si muache basi mjitegemee.

Eti afadhali misaada ya wachina kuliko ya wazungu, kwa nini muwe omba omba, hao wanaowasaidia wao wameomba wapi? Bogus kabisa, hamna maana kabisa nyie.
 
Democracy ingekua inaleta maendeleo basi huko Libya hali ingekua nzur sana na nchi nyingi sana za Africa zingekua juu sana kiuchum kisa kuna democracy. Huko kwa akina Putin, trump,Israel nk hakuna democracy yyt ile lkn ndio nchi zenye maendeleo makubwa duniani. China huko ndo kabisa saiz kuna Rais wa miaka yote.Nchi maskini kuhubiri democracy naona ni UPUMBAVU. Mliletewa democracy ili waweze kuwatawala. Leo mzungu anapita humohumo kwenye democracy kupenyeza watu wake watakao beba agenda zao.
Misuli, Misuli hata pasipohitaji misuli!!!
 
Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

P

Mkuu na wewe unakomaa na uteuzi ?
 
Mchina anawapelekesha ulaya na marekani na ulaya mbio kibiashara halafu uso na macho yake yako neutral huwezi jua yuko serious au la kumpiga bao mmarekani au ulaya kibiashara Afrika tofauti na Trump kushoto akichukia unajua wakati raisi wa china picha kulia hujui

1543391717314.png
1543391972794.png
 
Nadhani twende taratibu sio lazima tuwe kama wao. Kuangalia kitu cha msingi education health na ulinzi
 
Tanzania's President John Magufuli has said he prefers Chinese to Western aid as it comes with fewer conditions.

Mr Maugufuli has been under intense pressure from Western nations over his controversial policies.

On 15 November, Denmark said it had suspended $9.8m (£7.5m) in aid because of "unacceptable homophobic comments" by a Tanzanian politician.

China has become a major investor in Africa, challenging Western influence on the continent.

It has promised to spend $60bn in investment, aid and loans in Africa over the next three years, mostly in infrastructure development.

"The thing that makes you happy about their aid is that it is not tied to any conditions. When they decide to give you, they just give you," Mr Magufuli said.
That's 100% true said by our honourable president JPM.
Let the truth remain the truth!
Viva JPM, viva JMT....you will never walk alone mr Simba
 
Kwahili namuunga mkono John, mtu anakupa msaada na masimango kibao, misaada si afya kwa Taifa ila wanatufanya mazuzu mno kwa kutupangia lifestyle
Kwa chadema hili hawalioni tatizo sababu wanaendesha chama kwa hizo hela za masharti. Na matokeo yake ndio haya tunayaona ya kuifitini serikali maana wanatimiza masharti!
 
Mawazo haya duni yanafanya makao yetu makuu ya ufipa yaendelee kuchakaa bila ukarabati wowote. Hata tukiita waandishi wa habari tunawaelekeza uani chini ya maturubai yaliyotoboka.

Kama wanashindwa hata ku control budget ya chama, ya nchi wataiweza? Waendelee kupiga kelele ili kusaidia serikali ikae kwenye mstari. Lakini hawana uwezo wa kuendesha nchi.
 
Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

P
Pascal nakuona ukipata tender za TBC kwanini usiimbe pambio za kusifu na Wewe?
 
Back
Top Bottom