BBC: Magufuli prefers Chinese to Western

Wazungu wanachangia bajeti ya Taifa duni la Tanzania kwa 40% , na wakati huohuo utekelezaji wa bajeti ya nchi hiyo duni ni 40% , maana yake ni kwamba wakiondoka bajeti ya Taifa hilo duni itakuwa 0%
Mawazo haya duni yanafanya makao yetu makuu ya ufipa yaendelee kuchakaa bila ukarabati wowote. Hata tukiita waandishi wa habari tunawaelekeza uani chini ya maturubai yaliyotoboka.
 
Inabidi ufike wakati (kama bado haujafika) waafrica tuamue kusimama kwa miguu yeti wenyewe na tuseme 'enough is enough', wale wanaokuja na misaada au mikopo ya kipuuzi tuwaambie hatuihitaji. Wanatusokomezea haya na mikopo ya mashariti ya kipuuzi kwa kuwa wanajua hatuna ubavu wa kukataa. Tunao uwezo kabisa wa kuwa maskini jeuri endapo tutaamua kupenda nchi zetu na kutumia vizuri kile tulichonacho ili kujiletea maendeleo. Wote, westerners na Chinese, siyo mwarobaini wa maendeleo yetu, sisi wenyewe ndo dawa ya maendeleo yetu.
Namkubali Magu kwa angalau kuliona hilo na kusema 'tukiamua tunaweza'. Najua ni kazi ngumu kubadilisha mtazamo wa watu toka ule wa utegemezi kwenda mtazamo positive wa 'we can do it', lakini hata kule kuanza kufikiria nje ya 'box la utegemezi' na kuanza kupandikiza mbegu ya kujitegemea na kujiendeleza wenyewe, ni hatua nzuri inayostahili kupongezwa.
(There's no free lunch, there's no lunch at all'; JPM 2018)
nadhani magufuli anajuwa wewe ni bashite ambaye upo kwa kujaza tumbo lako na kunenepesha makalio unakuja force na ID yako yote ili usuport upupu wake mchina toka lini akawa binadamu yupo kama nguruwe tu yeye fyeka miti samaki madini mazao ya kilimo ukopeshaji wa kijambazi na makubaliano ya machale kwa sababu nyie washamba wa karomije hamuelewi maana halisi ya mchina kuwa ganda ruba munashangilia hivi umemuona mchina anacheza na mmrakani maana anajuwa maendeleo aliyoyafikia bila soko la uhakika la marekani amekwisha ni back to square one
 
Kusimangwa kwingine no no no kuwa kubali ushoga,usagaji Na ndoa ya jinsia moja ndio nikupe no no no no.Ni matusi makubwa mno kwa mwafrika

Usijifiche kwenye ushoga, tatizo liko wazi ni kutokufuata demokrasia. Huo ushoga mnaojifichia msidhani hatujui uko kwa kiwango gani na ni vipi unatuathiri kama taifa. Narudia tena, tatizo lake ni mwenendo wa kidemokrasia.
 
Inabidi ufike wakati (kama bado haujafika) waafrica tuamue kusimama kwa miguu yeti wenyewe na tuseme 'enough is enough', wale wanaokuja na misaada au mikopo ya kipuuzi tuwaambie hatuihitaji. Wanatusokomezea haya na mikopo ya mashariti ya kipuuzi kwa kuwa wanajua hatuna ubavu wa kukataa. Tunao uwezo kabisa wa kuwa maskini jeuri endapo tutaamua kupenda nchi zetu na kutumia vizuri kile tulichonacho ili kujiletea maendeleo. Wote, westerners na Chinese, siyo mwarobaini wa maendeleo yetu, sisi wenyewe ndo dawa ya maendeleo yetu.
Namkubali Magu kwa angalau kuliona hilo na kusema 'tukiamua tunaweza'. Najua ni kazi ngumu kubadilisha mtazamo wa watu toka ule wa utegemezi kwenda mtazamo positive wa 'we can do it', lakini hata kule kuanza kufikiria nje ya 'box la utegemezi' na kuanza kupandikiza mbegu ya kujitegemea na kujiendeleza wenyewe, ni hatua nzuri inayostahili kupongezwa.
(There's no free lunch, there's no lunch at all'; JPM 2018)

My Black Ass... Enough is enough!! ??Indebted selfish corrupt black leaders... Killers Dictators Shallow and Stupid think tanks . Pumbavu.
 
Inabidi ufike wakati (kama bado haujafika) waafrica tuamue kusimama kwa miguu yeti wenyewe na tuseme 'enough is enough', wale wanaokuja na misaada au mikopo ya kipuuzi tuwaambie hatuihitaji. Wanatusokomezea haya na mikopo ya mashariti ya kipuuzi kwa kuwa wanajua hatuna ubavu wa kukataa. Tunao uwezo kabisa wa kuwa maskini jeuri endapo tutaamua kupenda nchi zetu na kutumia vizuri kile tulichonacho ili kujiletea maendeleo. Wote, westerners na Chinese, siyo mwarobaini wa maendeleo yetu, sisi wenyewe ndo dawa ya maendeleo yetu.
Namkubali Magu kwa angalau kuliona hilo na kusema 'tukiamua tunaweza'. Najua ni kazi ngumu kubadilisha mtazamo wa watu toka ule wa utegemezi kwenda mtazamo positive wa 'we can do it', lakini hata kule kuanza kufikiria nje ya 'box la utegemezi' na kuanza kupandikiza mbegu ya kujitegemea na kujiendeleza wenyewe, ni hatua nzuri inayostahili kupongezwa.
(There's no free lunch, there's no lunch at all'; JPM 2018)
Eti jeuri wakati mkopaji wa kutupwa ! [emoji23] ngachoka mie
 
Wote, westerners na Chinese, siyo mwarobaini wa maendeleo yetu, sisi wenyewe ndo dawa ya maendeleo yetu.

Sidhani kuwa hata huyo Magufuli analiamini hili; lakini huo ndio ukweli wenyewe.

Naelewa kwa nini anafurahia mikopo na misaada ya waChina. Yeye hapo alipo anadhani haina masharti. Wachina sio wajinga. Tumuulize kwa nini mikataba aliyokuwa amekwishaifanya Kikwete katika ujenzi wa reli, yeye Magufuli aliikataa!

Anachowapendea waChina ni jambo moja tu - hawawezi kumwambia kuwa anatuburuza waTanzania. Atafanya lolote analopenda, lakini hutasikia mChina akitoa sauti. Ni hicho tu ndio anachowapendea waChina.
Hayo mengine uliyoyaeleza hapo hana uwezo nayo kabisa.
Huwezi kuwafanya watu wafanye kazi kwa ubunifu na kwa kujituma kwa njia za kuwaburuza na kuwanyima haki.
 
nadhani magufuli anajuwa wewe ni bashite ambaye upo kwa kujaza tumbo lako na kunenepesha makalio unakuja force na ID yako yote ili usuport upupu wake mchina toka lini akawa binadamu yupo kama nguruwe tu yeye fyeka miti samaki madini mazao ya kilimo ukopeshaji wa kijambazi na makubaliano ya machale kwa sababu nyie washamba wa karomije hamuelewi maana halisi ya mchina kuwa ganda ruba munashangilia hivi umemuona mchina anacheza na mmrakani maana anajuwa maendeleo aliyoyafikia bila soko la uhakika la marekani amekwisha ni back to square one
Kamanda povu la nini? Waka pwenti zako hapo watu wajadali. Kujadili hoja kwa porojo, kubwatuka, matusi, kejeli, bila kusema chochote cha maana haisaidii kitu.
Nyie wafuasi wa msaliti mna shida sana, porojo tu na kusema ovyo kama kiongozi wenu.
 
je vipi hao wanaokata misaada kisa tunapinga ushoga

Umewahi kuona shoga yoyote akilazimishwa kufanya huo uchafu? Hayo ni makubaliano ya watu kwa matumizi ya miili yao. Hayana madhara kwa taifa kwenye maendeleo wala amani yetu. Huyo jamaa anawakimbilia wachina kwani wao huwa hawahoji ubazazi unaofanywa na viongozi wa kiafrika dhidi ya wananchi wao.
 
Inabidi ufike wakati (kama bado haujafika) waafrica tuamue kusimama kwa miguu yeti wenyewe na tuseme 'enough is enough', wale wanaokuja na misaada au mikopo ya kipuuzi tuwaambie hatuihitaji. Wanatusokomezea haya na mikopo ya mashariti ya kipuuzi kwa kuwa wanajua hatuna ubavu wa kukataa. Tunao uwezo kabisa wa kuwa maskini jeuri endapo tutaamua kupenda nchi zetu na kutumia vizuri kile tulichonacho ili kujiletea maendeleo. Wote, westerners na Chinese, siyo mwarobaini wa maendeleo yetu, sisi wenyewe ndo dawa ya maendeleo yetu.
Namkubali Magu kwa angalau kuliona hilo na kusema 'tukiamua tunaweza'. Najua ni kazi ngumu kubadilisha mtazamo wa watu toka ule wa utegemezi kwenda mtazamo positive wa 'we can do it', lakini hata kule kuanza kufikiria nje ya 'box la utegemezi' na kuanza kupandikiza mbegu ya kujitegemea na kujiendeleza wenyewe, ni hatua nzuri inayostahili kupongezwa.
(There's no free lunch, there's no lunch at all'; JPM 2018)
israel anaongoza kwa kupokea misaada ya Marekani, why not us, ujeuri huu tumeanza kuupata lini?
 
Back
Top Bottom