BBC: Magufuli prefers Chinese to Western

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,163
103,617
Tanzania's President John Magufuli has said he prefers Chinese to Western aid as it comes with fewer conditions.

Mr Maugufuli has been under intense pressure from Western nations over his controversial policies.

On 15 November, Denmark said it had suspended $9.8m (£7.5m) in aid because of "unacceptable homophobic comments" by a Tanzanian politician.

China has become a major investor in Africa, challenging Western influence on the continent.

It has promised to spend $60bn in investment, aid and loans in Africa over the next three years, mostly in infrastructure development.

"The thing that makes you happy about their aid is that it is not tied to any conditions. When they decide to give you, they just give you," Mr Magufuli said.
 
China ni marafiki zetu kweri kweri.
FB_IMG_15433224897579457.jpg
 
Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

P
 
Chinese bado wapo wakiamini definition ya uchumi ya Adam Smith, ...." Wealth of the nation..." Muhimu upate pesa bila kujali UTU na mbinu. Marafiki JPM, Western wanaamini Classical Sir.Martial ....Making wealth and human behaviour, utajiri na UTU ktk kuupata na modern definition demand and supply
 
Inabidi ufike wakati (kama bado haujafika) waafrica tuamue kusimama kwa miguu yeti wenyewe na tuseme 'enough is enough', wale wanaokuja na misaada au mikopo ya kipuuzi tuwaambie hatuihitaji. Wanatusokomezea haya na mikopo ya mashariti ya kipuuzi kwa kuwa wanajua hatuna ubavu wa kukataa. Tunao uwezo kabisa wa kuwa maskini jeuri endapo tutaamua kupenda nchi zetu na kutumia vizuri kile tulichonacho ili kujiletea maendeleo. Wote, westerners na Chinese, siyo mwarobaini wa maendeleo yetu, sisi wenyewe ndo dawa ya maendeleo yetu.
Namkubali Magu kwa angalau kuliona hilo na kusema 'tukiamua tunaweza'. Najua ni kazi ngumu kubadilisha mtazamo wa watu toka ule wa utegemezi kwenda mtazamo positive wa 'we can do it', lakini hata kule kuanza kufikiria nje ya 'box la utegemezi' na kuanza kupandikiza mbegu ya kujitegemea na kujiendeleza wenyewe, ni hatua nzuri inayostahili kupongezwa.
(There's no free lunch, there's no lunch at all'; JPM 2018)
 
Chinese bado wapo wakiamini definition ya uchumi ya Adam Smith, ...." Wealth of the nation..." Muhimu upate pesa bila kujali UTU na mbinu. Marafiki JPM, Western wanaamini Classical Sir.Martial ....Making wealth and human behaviour, utajiri na UTU ktk kuupata na modern definition demand and supply
Ushoga Na usagaji ni utu?
 
Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

P
Wazungu wanachangia bajeti ya Taifa duni la Tanzania kwa 40% , na wakati huohuo utekelezaji wa bajeti ya nchi hiyo duni ni 40% , maana yake ni kwamba wakiondoka bajeti ya Taifa hilo duni itakuwa 0%
 
Back
Top Bottom