BBC: Magufuli prefers Chinese to Western

BBC: Magufuli prefers Chinese to Western

Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

P
Maelezo yako yote yamejificha kwenye maneno mawili tu "MASKINI JEURI"
 
Tanzania's President John Magufuli has said he prefers Chinese to Western aid as it comes with fewer conditions.

Mr Maugufuli has been under intense pressure from Western nations over his controversial policies.

On 15 November, Denmark said it had suspended $9.8m (£7.5m) in aid because of "unacceptable homophobic comments" by a Tanzanian politician.

China has become a major investor in Africa, challenging Western influence on the continent.

It has promised to spend $60bn in investment, aid and loans in Africa over the next three years, mostly in infrastructure development.

"The thing that makes you happy about their aid is that it is not tied to any conditions. When they decide to give you, they just give you," Mr Magufuli said.

Denmark inataka Watanzania wabadili utamaduni wao ndio wapate DOLA MILIONI 9.8 (DOLA MILIONI 8.9 UNATAKIWA UKUBALI MILA ZA JAMII NYINGINE! FEDHEDHA! long-live CHINA!
 
je vipi hao wanaokata misaada kisa tunapinga ushoga
Hoja nyepesi siupendi ushoga lakini upo na tunaendelea kuwepo. Jukumu letu ni kuleta familiya zetu na watu wanao tuzunguka kwenye maadili mema, siyo kutangaza hajipendi ushoga ndiyo tutaotokomeza.
Nut yoyote mwenye akili timamu hawezi kuufagilia ushoga lakini upo. Tuna mambo mengi muhimu kuyafanya kwaajili ya maendeleo na vita vya ushoga unatakiwa jiwe vita baridi siyo vya kujipatia kiki ya kisiasa, mbona vilikuwepo na vipo unapo tangazo ni kamavku u promote. Zamani mashoga walikuwa wanafanya mambo yao kichini kichini na walikuwa wanaona soni kujitangaza mbele za watu sisi wenyewe ndiyo tunawapa air time bila kujijua
Tukijaribu kuacha mjadala wa mashoga tutajikuta kwenye maendeleo zaidi tuna mambo mengi ya kufuatilia hao maaluni siyo kipau mbele chetu, tutapiga hatua moja mbele hatuna Maji, hatuna umeme na vitu vingi vya kawaida anbavyo binadamu wa karne ya 21 anatakiwa kuwa navyo sisi kwetu ni anasa.
Kaumbuka kuna baadhi ya familiya hapa hapa Tanzania inawategemea hao mashoga ndiyo wazitunze na wazazi wapo very comfortable kutunzwa na mtoto shoga utakuta wanejengewa nyumba na kadhalika sasa hao tuwafanyeje? Hao ndiyo maadui wakubwa kuliko mashoga wenyewe. Hii vita ni ngumu lakini tunaweza ka asili Mia 50 tukirudisha tamaduni zetu na kuleta familiya zetu kwenye maadili yanayo faa. Kwa mfano zamani kulikuwa na jando na unyago hivi unafikiri kijana aliyepelekwa jandoni kuna uwezekano wa kuwa shoga? Kwa asili Mia kubwa ni hapana huo ni mfano kuna mengi tofauti yanayo fanana na hayo.
 
Na siku hao wachina wakitaifisha viwanja vyetu vya ndege na Tanesco yetu mfurahie hivyo
Tutafurahi tu sababu huo umeme hawataenda nao china na viwanja vya ndege hawataenda navyo china vitaendelea kutumiwa na watanzania.POA TU.Heri wachukue wao kuliko mishoga na misagaji na mijitu ya ndoa za jinsia moja.Umesikia hata walikochukua bandari nchi zingine hizo bandari wamezipakia kwenye meli kwenda nazo china?
 
China finds new fools in Africa, Tanzania.

We never learned a thing about foreigners.

When the Europeans came Africans exchanged gold, ivory and human beings for beads, rum, pocket knives, pearls, spices, brass rings and brass pans. Brass is an alloy of Copper and Zinc, West Africans called imported copper “red gold” and gave away humans in free exchange.

Chinese are here now, giving us a library, a road and safety helmet which bursts when dropped on the ground, in exchange for the national park, the port, the airport, and the lakes.

The hole in the brains of Africans has not been plugged.
 
Denmark inataka Watanzania wabadili utamaduni wao ndio wapate DOLA MILIONI 9.8 (DOLA MILIONI 8.9 UNATAKIWA UKUBALI MILA ZA JAMII NYINGINE! FEDHEDHA! long-live CHINA!

Ulaya na marekani wanaanza kuipoteza Afrika kwenye uchumi.Afrika inageukia china baada ya kuchoshwa na masharti ya hovyo yaliyo kinyume na mila na desturi na maadili ya mwafrika wanayoweka.Sasa hivi wanahangaika kuipaka matope china na waafrika tumeziba masikio wala hata hatuwasikilizi kelele zao .Ona hata wenzetu kenya waliokuwa karibu na wazungu wametimukia China .Ona hii ripoti kampuni ya wazungu inavyojaribu kuwaponda kenya na uhusiano wake na china baada ya kuona china sehemu kubwa ya mikopo na uwekezaji imeegemea china badala ya kwao!!!

Kenya assets risk seizure by Chinese — Moody's

Kenya is among countries at the highest risk of losing strategic assets to China over the pile of debt it owes Beijing, global ratings firm Moody’s Investor Service has said in a newly-released report that has raised eyebrows in public finance circles.
Moody’s says in the report that China’s response to sub-Saharan Africa countries facing liquidity pressure has not been uniform or transparent - meaning predictability of credit implications are less clear.
“Countries rich in natural resources, like Angola, Zambia, and Republic of the Congo, or with strategically important infrastructure, like ports or railways such as Kenya, are most vulnerable to the risk of losing control over important assets in negotiations with Chinese creditors,” Moody’s warns.
Liquidity relief
Such countries are also at risk of being offered liquidity relief at higher resource concessions that only reduce the value of future export earnings.
“Even if debt restructuring alleviates immediate liquidity pressure, the loss of natural resources revenue or other assets is credit negative,” Moody’s adds.
Outside sub-Saharan Africa, China got land in exchange for some debt relief in Tajikistan and took control of the Hambantota Port in Sri Lanka.
Recent data from the National Treasury show that Chinese debt stood at Ksh554.88 billion (5.4 billion) or 73.4 percent of total bilateral debt of Ksh756.28 billion (7.3 billion) at the end of September.
A large segment of the debt is linked to construction of the Standard Gauge Railway (SGR).
“In general, concentrated exposure to a single creditor, with little transparency about decisions to restructure the terms of the debt, increases rollover risks, weakening the fiscal profile,” Moody’s said.
The ratings agency says that for countries with narrow export bases, such as Kenya or Uganda, an increase in external debt associated with China's lending may not be met with sufficient and stable foreign-currency earnings in the future.
Relaxed conditions
Besides, Moody’s says, Chinese loans also come with relaxed conditions such as no call for structural reforms to enhance governance and competitiveness thus jeopardising the longer-term growth benefits from such loans.
This is unlike World Bank and European Union development assistance that is often linked to compliance with objectives related to governance, socio-economic development, and democratic principles.
Chinese lending to African countries increased to more than $10 billion (Ksh1 trillion) annually between 2012 and 2017, from less than $1 billion (Ksh100 billion) in 2002.
Angola (30 per cent), Ethiopia (10 per cent) and Kenya (seven percent) received almost half of all Chinese investment on the continent between 2000 and 2017, according to Moody’s.

SOURCE:Kenya assets risk seizure by Chinese, says Moody's
 
Ruksa wachina wachukue kuliko nchi kuchukuliwa Na Mashoga Na wasagaji
Ushoga imekuwa kuchaka cha supporter wa madictator kujificha! Mashoga wako Tz na msitake kuegemea immoral issue moja mka ignore yale madai ya msingi. Hivi hamna aibu juzi mlikuwa nao (world bank) na press ya nguvu. Jana mchina ndiye rafiki wa kweli. Masikini mjinga hana msimamo. Na nyie wapiga zumari mko nyuma yao.watu wa ajabu kweli! Kama kodi yako inaweza kulipa mshahara tu huna namna. Mwalimu pamoja na kuwa na misimamo na wazungu na kuegemea china waliunda non aligment policies. Hakufungamana na upande wowote, alijua upo wakati anahitaji kila upande .
 
Chinese bado wapo wakiamini definition ya uchumi ya Adam Smith, ...." Wealth of the nation..." Muhimu upate pesa bila kujali UTU na mbinu. Marafiki JPM, Western wanaamini Classical Sir.Martial ....Making wealth and human behaviour, utajiri na UTU ktk kuupata na modern definition demand and supply
Dunia haiendi huko mkuu. Amerika/Trump na UK wamesema bora biashara na Saudia kuliko kifo cha Khashoggy. Leo hii sisi tunaambiwa ushoga ni safi la sivyo pesa hapana!
 
Chinese bado wapo wakiamini definition ya uchumi ya Adam Smith, ...." Wealth of the nation..." Muhimu upate pesa bila kujali UTU na mbinu. Marafiki JPM, Western wanaamini Classical Sir.Martial ....Making wealth and human behaviour, utajiri na UTU ktk kuupata na modern definition demand and supply

hahahahahaah..I disagree!!! Show me Trump and I will show you Saudi Arabia under Mohammed Bin Salman! By the way what happen to Khashoggi??? who is protecting the killers?

Western countries ni wanafiki wa kutupwa. Ingawa kuna mambo natofautiana na Jiwe, Lakini kwa hili kapatia. Hawa jamaa ni wanafiki sana. Eti wanajali utu? my f...t!
 
Chinese bado wapo wakiamini definition ya uchumi ya Adam Smith, ...." Wealth of the nation..." Muhimu upate pesa bila kujali UTU na mbinu. Marafiki JPM, Western wanaamini Classical Sir.Martial ....Making wealth and human behaviour, utajiri na UTU ktk kuupata na modern definition demand and supply
Huwezi kuwafanya watu wafanye kazi kwa ubunifu na kwa kujituma kwa njia za kuwaburuza na kuwanyima haki.
...brainwashed. Mlishindwaje kufanya ubunifu kwa miaka 30 ya 'demokrasia ya kuwa chini ya maelekezo kutoka kwa wazungu au nchi za magharibi?
 
Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

P
Wewe ni masikini tu. Huwezi mpangia anaekulisha. Yeye ndo anakupangia.
 
Back
Top Bottom