BBC: Magufuli prefers Chinese to Western

BBC: Magufuli prefers Chinese to Western

Ruksa wachina wachukue kuliko nchi kuchukuliwa Na Mashoga Na wasagaji
Tatizo lenu nyinyi hata hamjishughulishi kusoma.

Unajua kama wachina kwenye imani zao wana hadi mungu wa kushugulikia ndoa za jinsia moja?

Msome zaidi hapa
Tu'er Shen - Wikipedia

LGBT rights in China - Wikipedia

Na mwaka 1997 China wameruhusu mahusiano ya kishoga.

Kama.kweli una nia ya dhati kutoshirikiana na mashoga mpinge pia na misaada ya mashoga wa china?
 
Hata zambia walikuwa wanakubali misaada ya China kama wewe lkn leo wanalia kwa kukosa uwanja wao wa ndege na zesco
Wewe nenda zambia uone toka wachina wachuke shirika la umeme haijawahi tokea hata siku moja umeme kukatika.Ila wachina kulichukua shirika la umeme kumepelekea kilio kikubwa kwa wazungu sababu kila kitu kinachohitakjika kwa ajili ya shirika kinanunuliwa china zamani kila kitu kilitoka kwa wazungu.Sasa wazungu ndio wanaolia kupitia machozi ya vibaraka weusi kama wewe na hao wazambia weusi.Ni mzungu anayelia kupitia kibaraka wewe na chadema wenzio baada ya kulizwa kibiashara na mchina shirika la umeme la zambia la ZESCO..Mzungu kila akilizwa na mchina kibiashara hutafuta vibaraka waliaji kwa niaba yake waswahili kama wewe na CHADEMA.
 
Hii habari haihusiki na cdm lkn cha ajabu wewe unaleta habari za cdm ndiyo hapo nakuitaga chakubimbi
Wewe nenda zambia uone toka wachina wachuke shirika la umeme haijawahi tokea hata siku moja umeme kukatika.Ila wachina kulichukua shirika la umeme kumepelekea kilio kikubwa kwa wazungu sababu kila kitu kinachohitakjika kwa ajili ya shirika kinanunuliwa china zamani kila kitu kilitoka kwa wazungu.Sasa wazungu ndio wanaolia kupitia machoi ya vibaraka weusi kama wewe na hao wazambia weusi.Ni mzungu anayelia kupitia kibaraka wewe na chadema wenzio baada ya kulizwa kibiashara na mchina shirika la umeme la zambia la ZESCO..Mzungu kila akilizwa na mchina kibiashara hutafuta vibaraka waliaji kwa niaba yake waswahili kama wewe na CHADEMA.
 
Tatizo lenu nyinyi hata hamjishughulishi kusoma.

Unajua kama wachina kwenye imani zao wana hadi mungu wa kushugulikia ndoa za jinsia moja?

Msome zaidi hapa
Tu'er Shen - Wikipedia

LGBT rights in China - Wikipedia

Na mwaka 1997 China wameruhusu mahusiano ya kishoga.

Kama.kweli una nia ya dhati kutoshirikiana na mashoga mpinge pia na misaada ya mashoga wa china?
Hata kama wanaye hawajawahi mshirikisha kuwa sehemu ya kipengele cha misaada au sharti la mikopo wowote wanatujua mila,desturi na maadili yetu .Wana adabu za uhakika wakiwa kwetu na tukiwa nao.
 
utumbo mtupu embu mubadirishe hilo toto chupa lako la kichina pampasi isije kuwa zezeta kaa wewe tu
Wewe dada mbona una hasira sana?

Inaonekana huyo mtu uliye na hasira nae alikuacha, sasa wewe tukia utapata tu bwana mwingine
 
My Black Ass... Enough is enough!! ??Indebted selfish corrupt black leaders... Killers Dictators Shallow and Stupid think tanks . Pumbavu.
*****... Utaendelea kuwa mtumwa
 
Hata kama wanaye hawajawahi mshirikisha kuwa sehemu ya kipengele cha misaada au sharti la mikopo wowote wanatujua mila,desturi na maadili yetu .Wana adabu za uhakika wakiwa kwetu na tukiwa nao.
Nakubaliana nawe, mzungu kinamuuma sana, tena ukichukulia hana makoloni basi ndiyo imekuwa shida kwake, mchina sawa atataka riba na kupata maliasili na rasilimali zetu, lakini yawa nipe nikupe, kuliko ya mzungu ni kama tunatoa tuu na hakuna faida yoyote tunayoiona..
Ngoja tu-dela na mchina, akituzinguwa tutatafuta wengine...na hata kurudi kwa mzungu..
Ila mzungu janja sana, anajuwa kuchokonoa Dunia kwa kumpaka matope mchina kwa kutumia wenye njaa zao..
 
Usijifiche kwenye ushoga, tatizo liko wazi ni kutokufuata demokrasia. Huo ushoga mnaojifichia msidhani hatujui uko kwa kiwango gani na ni vipi unatuathiri kama taifa. Narudia tena, tatizo lake ni mwenendo wa kidemokrasia.
Huko kwao ndio kuna democracy?Vipi huko Libya baada ya Gadaf watu sasa wanaishi vizur?Mzungu anajua Africa kuna mapimbi wengi sana na ndio maana anakuja na viterm kama democracy, freedom of expression nk.
 
Hata kama wanaye hawajawahi mshirikisha kuwa sehemu ya kipengele cha misaada au sharti la mikopo wowote wanatujua mila,desturi na maadili yetu .Wana adabu za uhakika wakiwa kwetu na tukiwa nao.
Kwa hio msimamo wenu upo hivi.
-msaada wa shoga anayeweka kipengele cha ushoga hamuutaki
-msaada wa shoga asiyeweka kipengele cha ushoga munaukubali?
 
Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.

Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums

Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums

P
"Asikubali kupangiwa cha kusema"!!! pascali seriously you meant?? kwamba asipangiwe cha kusema?? kwani hotuba za viongozi zinaandaliwa kwa maana ipi?? sometimes mnajifanya kumsaidia mzee wetu kumbe na nyinyi ndio wale wale! hivi asilimia 60 ya bajeti yetu unajua inapotoka?? kuwa serious basi mzee baba
 
Kwa hio msimamo wenu upo hivi.
-msaada wa shoga anayeweka kipengele cha ushoga hamuutaki
-msaada wa shoga asiyeweka kipengele cha ushoga munaukubali?
China hawajawahi jitangaza mashoga au tangaza ushoga ,usagaji na ndoa za jinsia moja kama agenda hilo la kuwaita mashoga ndio tunalisikia kwako halijawahi toka mdomoni mwa kiongozi yeyote wa china.Hayo mambo yako ya kuokoteza wikipedia baki nayo mwenyewe
 
Inabidi ufike wakati (kama bado haujafika) waafrica tuamue kusimama kwa miguu yeti wenyewe na tuseme 'enough is enough', wale wanaokuja na misaada au mikopo ya kipuuzi tuwaambie hatuihitaji. Wanatusokomezea haya na mikopo ya mashariti ya kipuuzi kwa kuwa wanajua hatuna ubavu wa kukataa. Tunao uwezo kabisa wa kuwa maskini jeuri endapo tutaamua kupenda nchi zetu na kutumia vizuri kile tulichonacho ili kujiletea maendeleo. Wote, westerners na Chinese, siyo mwarobaini wa maendeleo yetu, sisi wenyewe ndo dawa ya maendeleo yetu.
Namkubali Magu kwa angalau kuliona hilo na kusema 'tukiamua tunaweza'. Najua ni kazi ngumu kubadilisha mtazamo wa watu toka ule wa utegemezi kwenda mtazamo positive wa 'we can do it', lakini hata kule kuanza kufikiria nje ya 'box la utegemezi' na kuanza kupandikiza mbegu ya kujitegemea na kujiendeleza wenyewe, ni hatua nzuri inayostahili kupongezwa.
(There's no free lunch, there's no lunch at all'; JPM 2018)

Mbona kama mnajichanganya na hamjui mnataka nini, mnasema no free lunch mara bora mchina akikupa anakupa tu. Magu matendo yake lazima yamchagulie marafiki wala msimung'unye maneno, anapenda Zaidi kufungamana na madikteta na udikteta kwa hiyo lazima hawakubali wahafidhina wenzie.

External financing lazima kama maendeleo ya haraka yanahitajika, hizi sijui jana umechukua pesa za western leo unasema huwataki ni unafiki tu. WB kawapongeza juzi na kusema maneno yote lakini leo analeta hila na kuchanganya watu tu akipokea kutoka china ni lazima achunge kauli zake.
 
Nakubaliana nawe, mzungu kinamuuma sana, tena ukichukulia hana makoloni basi ndiyo imekuwa shida kwake, mchina sawa atataka riba na kupata maliasili na rasilimali zetu, lakini yawa nipe nikupe, kuliko ya mzungu ni kama tunatoa tuu na hakuna faida yoyote tunayoiona..
Ngoja tu-dela na mchina, akituzinguwa tutatafuta wengine...na hata kurudi kwa mzungu..
Ila mzungu janja sana, anajuwa kuchokonoa Dunia kwa kumpaka matope mchina kwa kutumia wenye njaa zao..
Kwa mchina mkuu hakuna cha kukuzingua utafute mwengine, yeye mikataba yake anabeba maliasili, sio utani ni reality.
1. Djibout juzi juzi wameshaingia mkataba bandari wanauza kwa wachina
2. Angola anauza mafuta yote china bila kupenda kwa deni analodaiwa.
3. Zambia ndio hao wameshindwa kulipa deni wanauza Tanesco yao.
4. Sri lanka wameuza bandari yao.
5. Zimbabwe wameambiwa China iwe ya kwanza kupewa tenda za madini na sheria za kazi haziwezi washtaki wachina.

Umewasikia pia wanaanza choko choko ya ziwa victoria,

Hawa jamaa ukitaka hela wanakupa tu ila madhara yake unakuja kuyaona baadae. Wenzetu wananyolewa na sisi tutie nywele maji.
 
Kwa mchina mkuu hakuna cha kukuzingua utafute mwengine, yeye mikataba yake anabeba maliasili, sio utani ni reality.
1. Djibout juzi juzi wameshaingia mkataba bandari wanauza kwa wachina
2. Angola anauza mafuta yote china bila kupenda kwa deni analodaiwa.
3. Zambia ndio hao wameshindwa kulipa deni wanauza Tanesco yao.
4. Sri lanka wameuza bandari yao.
5. Zimbabwe wameambiwa China iwe ya kwanza kupewa tenda za madini na sheria za kazi haziwezi washtaki wachina.

Umewasikia pia wanaanza choko choko ya ziwa victoria,

Hawa jamaa ukitaka hela wanakupa tu ila madhara yake unakuja kuyaona baadae. Wenzetu wananyolewa na sisi tutie nywele maji.[/QUOTE]
Nakubaliana nawe kabisa, ila bado naona heri hawa kuliko wazungu, yote itategemea ile mikataba na umakini wetu...
 
1. Djibout juzi juzi wameshaingia mkataba bandari wanauza kwa wachina
2. Angola anauza mafuta yote china bila kupenda kwa deni analodaiwa.
3. Zambia ndio hao wameshindwa kulipa deni wanauza Tanesco yao.
4. Sri lanka wameuza bandari yao..
Mnalishwa uongo na wazungu hadi basi!! Kuhusu bandari ya Sri LANKA na Djibout ni kuwa wamezichuka kwa management contract sio kuuziwa wanaziendesha wakikusanya pesa yao .Bandari zinaendelea kutumiwa na raia wa nchi husika .Zilikuwa haziendeshwi kwa ufanisi hivyo kufanya deni lisilipike china wameshika zinaendeshwa kwa ufanisi mkubwa mno.Zambia pia shirika la umeme hawajanunua bali wamechukua kuliendesha,Toka washike umeme haukatiki zambia

Kwa nini wazungu wanalia sana kuhusu bandari hizo na shirika la umeme kuchukuliwa na china ? Sababu kubwa ni biashara mfano wangechukua wachina Tanesco kuiendesha mzungu angelia mno sababu kuanzia nyaya,transformer nk vyote huagizwa nchini kwa mzungu.Baada ya mchina kuchukua hizo bandari na shirika la umeme china wamepeleka kilio kwa wazungu kibiashara kila kitu wanatoa china.Sasa mzungu ana media nyingi sana kwa hiyo anabweka na kulia kila kona ndio maana na wewe umeona kama mchina si sawa achukue!!!! unamsaidia mzungu kulia msiba wake!!!!

Hayo mafuta ya Angola pia wao wazungu ndio walikuwa wanunuzi wakuu mchina kawapora biashara wanaangua kilio cha kufa mtu na wanawatafuta watu wa kuwasaidia kulia kama wewe.

Kila sehemu mzungu akipigwa chini kibiashara na mchina lazima abweke CNN,BBC na kila chombo cha habari kikubwa cha nchi za magharibi.Na watu kama wewe consumer mkubwa wa habari za wazungu lazima utikise kichwa kuongea kiingereza YES YES YES
 
nadhani magufuli anajuwa wewe ni bashite ambaye upo kwa kujaza tumbo lako na kunenepesha makalio unakuja force na ID yako yote ili usuport upupu wake mchina toka lini akawa binadamu yupo kama nguruwe tu yeye fyeka miti samaki madini mazao ya kilimo ukopeshaji wa kijambazi na makubaliano ya machale kwa sababu nyie washamba wa karomije hamuelewi maana halisi ya mchina kuwa ganda ruba munashangilia hivi umemuona mchina anacheza na mmrakani maana anajuwa maendeleo aliyoyafikia bila soko la uhakika la marekani amekwisha ni back to square one
Hayo matusi kwanza ungemtukana rais Nyerere kisha ungemfuati magufuli

Mao
Xi ping

Ni ndugu zetu
 
Raisi magufli (as a person) ameprove kua moja ya viongozi wenye ujasiri wa hali ya juu sana kutokea nchini kwetu. serikali kama taasisi iweke mfumo mzuri wa kumuongoza na kumchallenge (kuweka checks and balance) kwa manufaa ya ustawi wa Tanzania kama nchi...maana hao westeners anaowaambia ukweli kiuhalisia wana nguvu kuliko nchi moja moja ya kiafrika. viongozi wengi wa kiafrica waliojaribu kupambana nao walishindwa ( refer Mugabe alipojaribu nini kiliikuta sarafu yake, refer pia Ghadafi alipowagusa nini kiliikuta libya) na afrika ikawa inatizama tuu. si mbaya kuwa jeuri kwa maslai mapana ya nchi yetu..lakini kwa mazingira tuliyopo ya kimataifa hili lifanywe kwa utaalam na uangalifu mkubwa sana maana afrika ukibuma umebuma mwenyewe hamna umoja wala uzalendo wa kusupportiana zidi ya kutoa matamko ya 'kulaani vikali' na kutoa pole
 
Mbona kama mnajichanganya na hamjui mnataka nini, mnasema no free lunch mara bora mchina akikupa anakupa tu. Magu matendo yake lazima yamchagulie marafiki wala msimung'unye maneno, anapenda Zaidi kufungamana na madikteta na udikteta kwa hiyo lazima hawakubali wahafidhina wenzie.

External financing lazima kama maendeleo ya haraka yanahitajika, hizi sijui jana umechukua pesa za western leo unasema huwataki ni unafiki tu. WB kawapongeza juzi na kusema maneno yote lakini leo analeta hila na kuchanganya watu tu akipokea kutoka china ni lazima achunge kauli zake.
China ni ally wa TZ tokea 60s na ni Nyerere aliye uasisi huu ushirikiano mbn wa Tz tunakuwa kama hatuna akili hata history hamjui sasa Magu si anapita kule jk,Ben na Nyerere alikopita why matusi kwa jpm?
 
Back
Top Bottom