Chukueni ya wachina muuze nchi kama Zambia
Hawa wachina wamefanya nn Zambia??yatatukuta hakuna urafiki kati ya taifa ndogo na kubwa,Hawa wachina ni marafiki wa CCM sio watanzania ,Ndio maana hata jengo LA Lumumba wamejenga mwenyewe,Kwa tenda za barabara,Madini Wa napiga tu ,Hawa wachina waliokuwa wanaimba tembo marafiki zetu kivipi?Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums
Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums
P
Kwa uthubutu tu magu yuko vizuri ila kauli zake approaches zake ni shida na janga kwa taifa hili.Inabidi ufike wakati (kama bado haujafika) waafrica tuamue kusimama kwa miguu yeti wenyewe na tuseme 'enough is enough', wale wanaokuja na misaada au mikopo ya kipuuzi tuwaambie hatuihitaji. Wanatusokomezea haya na mikopo ya mashariti ya kipuuzi kwa kuwa wanajua hatuna ubavu wa kukataa. Tunao uwezo kabisa wa kuwa maskini jeuri endapo tutaamua kupenda nchi zetu na kutumia vizuri kile tulichonacho ili kujiletea maendeleo. Wote, westerners na Chinese, siyo mwarobaini wa maendeleo yetu, sisi wenyewe ndo dawa ya maendeleo yetu.
Namkubali Magu kwa angalau kuliona hilo na kusema 'tukiamua tunaweza'. Najua ni kazi ngumu kubadilisha mtazamo wa watu toka ule wa utegemezi kwenda mtazamo positive wa 'we can do it', lakini hata kule kuanza kufikiria nje ya 'box la utegemezi' na kuanza kupandikiza mbegu ya kujitegemea na kujiendeleza wenyewe, ni hatua nzuri inayostahili kupongezwa.
(There's no free lunch, there's no lunch at all'; JPM 2018)
Ushoga na usagaji ni hulka au tabia chafu tu (deranged inclinations) za watu. Heshima kwa UTU wa mtu; yaani ushoga au usagaji haumfanyi mtu asiwe mwanadamu.Ushoga Na usagaji ni utu?
Wengi wetu bado tuna nidhamu ya woga, tunafikiri "Western World" pekee ndiyo watakaotusaidia, bado hatutaki kujaribu donors wengine, tunasahau China na Western world wana bifu la kiuchumi hasa katika kujipatia maliasili na rasilimali zetu, misaada ya Wazungu yaja na masharti ya ajabu ajabu sana mengine mpaka yawa ngumu kumeza, China nawo vichwa hawakupi cha bure ila masharti yao kwa kweli ni nafuu, swala ni sisi tuwe wajanja na kukumbuka tu, Duniani hakuna cha bure...Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti. Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums P
Siku wakija ikulu anawaita 'wanaume' na kupiga nao selfie, tabia za akina mama kumsifia aliye nae mda huo akija mwingine anasifiwa pia kama wa mwanzoUnataka alambe miguu ya wazungu sio? Subiri nyie vibaraka mshike dola hayo mambo yatawezekana, lakini sio sasa.
Mkikataa misaada ndiyo mmemaliza tatizo la ushoga?je vipi hao wanaokata misaada kisa tunapinga ushoga
Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums
Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums
P
Kwahili namuunga mkono John, mtu anakupa msaada na masimango kibao, misaada si afya kwa Taifa ila wanatufanya mazuzu mno kwa kutupangia lifestyle
China ni marafiki wa maliasili yetu kuliko sisi
Magufuli yupo sawa!
Chukueni ya wachina muuze nchi kama Zambia
Ushoga Na usagaji ni utu?
Ruksa wachina wachukue kuliko nchi kuchukuliwa Na Mashoga Na wasagaji
Wazungu wanachangia bajeti ya Taifa duni la Tanzania kwa 40% , na wakati huohuo utekelezaji wa bajeti ya nchi hiyo duni ni 40% , maana yake ni kwamba wakiondoka bajeti ya Taifa hilo duni itakuwa 0%
Great thinkerChina ni marafiki wa maliasili yetu kuliko sisi