Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ona ulivyo MSENGE!
Maneno meengiiiii upuuzi mtupu.
Povu liko wapi hapo!?
Mbona umezungumzia na Azam complex?
Imeingiaje Azam complex?
Kwa ufala wenu yani pesa zote zile ndio mkafanya renovation na uwanja ukawa vile!?
SASA NDIO RENOVATION GANI ILE!?
Kati ya sisi na ninyi nani anatafuta excuses!?
Yani una renovate uwanja na bado hauna mabadiliko yeyote!?
Subiri Uhuru ukarabatiwe muone maana ya ukarabati ni nini.
Wakati mtakarabati indoor arena na swimming pool hapo Uhuru njoo kwenye meza ya mazungumzo. Kwa sasa endelea kutoa povu
 
Can you mention any country in West Africa that's building soccer STADIUMS like the ones in South Africa? Can you mention the names of those stadiums, their capacity and locations in that country?
Sorry vilishajengwa vikatumika mwaka huu AFCON.
Ila Egypt umekamilika mmoja mwaka jana au mwaka huu kama sijakosea na umefunguliwa unaingiza idadi ya mashabiki 94,000.
Vya Ivory coast ni mashabiki 20k na 60k.
Na vingine vimefanyiwa renovation Egypt vinaingiza mashabiki 70k each.
Cha Egypt mathalan new administrative stadium.
Ni uwanja mzuri zaidi Africa ila ni wapili kwa ukubwa Africa.
 
Unahama hama!?

Unahama hama!?
Yani zile ziwe seat 50!?
Embu niondolee usenge sibishani usenge mimi.
These are the only seats in Azam, kama kuna zingine more than these nionyeshe😂😂

Hizi seats ni 52 in number.
1715016091200.jpeg
 
Wakati mtakarabati indoor arena na swimming pool hapo Uhuru njoo kwenye meza ya mazungumzo. Kwa sasa endelea kutoa povu
Huna hoja fala wewe.
Subirini muone Uhuru utavyopendeza.
Ninyi endeleeni kutapanya pesa kwa visingizio vya kukarabati indoor arenas sijui nini.
Uwanja hauna mabadiliko yeyote ya kimuonekano unasema umeufanyia mabadiliko!?
MAFISADI WAKUBWA.
 
Azam mashabiki wanakalia mbao😂😂😂
Nyie na Malawi ndio mlikuwa mnatukuza wazungu Africa nzima We all Know. Hata mnapokwenda kucheza huko malawi tunajua Historia yenu

Apartheid. During South Africa's apartheid regime, cordial relations with Kenya were maintained as Kenya was one of Africa's leading pro-Western governments.

Malawi maintained diplomatic relations with South Africa during the apartheid era.
 
So this is how fluent you could get in English to get admission in form one in that school? Kwamba hii Kiingereza unachoandika hapa ulipita cut off point ya English fluency and comprehension hadi kupata admission in that "strict" school?
Talk of low standards in Tanganyika!
You are very stupid. MSFS sio shule ya serikali na waalimu wote ni whites na indians, straight from europe na India. Wote ni mapadre wa catholic, hakuna mtu anakuwa padre catholic bila at least one degree.
 
If you put 'to' between 'me' and 'write', you have to place a pronoun before the verb 'help'. Thus,
'She helped me to write the project ' is correct but 'Helped me to write the project' is not. If you omit the pronoun, then you also have to omit the preposition 'to'.

Free English class there. You're welcome.
There is nothing I can learn from you. Nioneshe grammar error ile uliyosema kwanza.
 
Umetaka viti umeoneshwa unahama hama!?
Matako kweli.
Na huo uwanja unaendelea kufanyiwa mabadiliko.
Mmesema Azam has a capacity of 10,000 spectators and I asked for those seats that can accommodate 10,000 fans lakini wewe unaniletea viti 52.

Mabadiliko gani unaongelea ya kukalia mbao ama?
 
Sorry vilishajengwa vikatumika mwaka huu AFCON.
Ila Egypt umekamilika mmoja mwaka jana au mwaka huu kama sijakosea na umefunguliwa unaingiza idadi ya mashabiki 94,000.
Vya Ivory coast ni mashabiki 20k na 60k.
Na vingine vimefanyiwa renovation Egypt vinaingiza mashabiki 70k each.
Cha Egypt mathalan new administrative stadium.
Ni uwanja mzuri zaidi Africa ila ni wapili kwa ukubwa Africa.
Zile viwanja tuliona Ivory coast mwaka huu unawezalinganisha na viwanja vya South Africa that we all know? Mnapenda ubishi kweli watanzania.

Talking of capacity, SA ndio Iko na uwanja mkubwa kuliko zote hapa Africa 95,000 fans. Pia, nakukumbusha tu kwamba there are over 55 stadiums in south Africa with capacities ranging from 10,000 people to 95,000 people. Tell me which African country has that number of stadiums. Nyinyi ubishi ndio mnapenda
 
There is nothing I can learn from you. Nioneshe grammar error ile uliyosema kwanza.
Ukifundishwa unaamisha magoli na kuleta kiburi badala ya kujifunza, ndio maana hutawai jua. Ndio maana utaendelea kuandika kiingereza kama hiki.

"South Africa has no that supposedly better stadium than most stadiums currently under construction in the region."
 
You are very stupid. MSFS sio shule ya serikali na waalimu wote ni whites na indians, straight from europe na India. Wote ni mapadre wa catholic, hakuna mtu anakuwa padre catholic bila at least one degree.
I was just making reference to standards in Tanzania. That's all. You were among the best in English a d it's evident here 😂🤣🤣🤣
 
Zile viwanja tuliona Ivory coast mwaka huu unawezalinganisha na viwanja vya South Africa that we all know? Mnapenda ubishi kweli watanzania.

Talking of capacity, SA ndio Iko na uwanja mkubwa kuliko zote hapa Africa 95,000 fans. Pia, nakukumbusha tu kwamba there are over 55 stadiums in south Africa with capacities ranging from 10,000 people to 95,000 people. Tell me which African country has that number of stadiums. Nyinyi ubishi ndio mnapenda
Unaona ulivyo msenge!?
Nilikutajia West Africa na North Africa.
Nikakutajia Ivory Coast na Egypt.
Nikakutajia uzuri sikukutajia capacity peke yake.
Nikakutajia UWANJA WA NEW ADMINISTRATIVE STADIUM CAIRO una idadi ya mashabiki 94,000,je hukuona haya maelezo!?
Kuna uwanja wa BEERG AL ARAB una capacity ya 70,000 je hukuona huu mfano!?
Fala wewe nahisi nabishana na kichaa asiyejielewa.
Egypt ina viwanja vingi vya 70,000 capacity na ukitaka nakutajia.
Na kwa S.A imebaki ukubwa tu wa idadi ya mashabiki ila kwa uzuri wa uwanja S.A washaachwa.
Soma kwa uelewa sio kwa kukurupuka matako wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom