Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣 unatamani iwe hivyo.?
It’s already like that, ama hukuwa unajua?

IMG_0196.png
 
Miradi ya Uzalishaji wa Umeme Iliyopo katika Hatua za Utayarishaji (Bajeti 2024/2025 Nishati Ukurasa 25)

1. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji wa Ruhudji – MW 358
2. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji wa Rumakali – MW 222
3. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji wa Kakono – MW 87.8
4. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji wa Kikonge – MW 321

JUMLA MW 988.8
 
Back
Top Bottom