Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,904
- 81,106
Mende stadium nangoja ukamilike maana nyie ni mabingwa wa disappointments when it comes to delivering the render!
Hebu tazameni hii video muone vile Nairobi SGR station inavofanana na sehemu ambazo hua hamuoneshwi😂😂😂😂😂😂
View: https://youtu.be/nF6mMABtYYk?si=vxXi2bXdETKr628V
Hivi ngoja niulize kuna shida gani uwanja ukiwa na running tracks? Unakosa sifa ya kuwa uwanja wa soka? Unashindwa kuchezewa mpira? Watazamaji wanakosa fursa ya kuangalia mpira vizuri? Uwanja unaonekana mbaya? Ni shida gani inatokea uwanja ukiwa na running tracks? Maana naona ni ‘kila mtu’ sasa imekuwa trend kukataa running tracks na sioni mkisema sababu, naomba kuelimishwa tafadhali.Kwa mimi mkuu naona uwanja mmoja tu unatosha kuwa na running tracks.
Maana Tanzania hatuna sana mashindano ya riadha.
Uingereza mashindano ya riadha yapo mengi.
Toka kuwepo na hizo running tracks BWM stadium unakumbuka kuhost riadha mwisho mwaka gani!?
Kichaguliwe kiwanja kimoja kinatosha.
Mbona niingie huko? Why can’t you post the updates here?Kazi ilishaanza,ingia jukwaa la Arusha vs Mwanza utaona
Mzee tulia. Where is Arusha stadium?Mende stadium nangoja ukamilike maana ni mabingwa wa disappointments when it comes to delivering the render!
Hebu tazameni hii video muone vile Nairobi SGR station inavofanana na sehemu ambazo hua hamuoneshwi😂😂😂😂😂😂
View: https://youtu.be/nF6mMABtYYk?si=vxXi2bXdETKr628V
📌📌📌📌🔨Mbona niingie huko? Why can’t you post the updates here?
Uwanja haukosi sifa mkuu wala hauwi mbaya ukiwa na running tracks.Hivi ngoja niulize kuna shida gani uwanja ukiwa na running tracks? Unakosa sifa ya kuwa uwanja wa soka? Unashindwa kuchezewa mpira? Watazamaji wanakosa fursa ya kuangalia mpira vizuri? Uwanja unaonekana mbaya? Ni shida gani inatokea uwanja ukiwa na running tracks? Maana naona ni ‘kila mtu’ sasa imekuwa trend kukataa running tracks na sioni mkisema sababu, naomba kuelimishwa tafadhali.
Kaka Kuna kasumba ya kijinga! Hebu imagine GoT itumie kodi yetu kujenga uwanja wa soccer tu badala ya multipurpose stadium wakati kuna michezo mingi! Hayo matakwa yao nchi zilizoendelea clubs za soccer ndo hufanya hivyo na si viwanja vya serikali!Hivi ngoja niulize kuna shida gani uwanja ukiwa na running tracks? Unakosa sifa ya kuwa uwanja wa soka? Unashindwa kuchezewa mpira? Watazamaji wanakosa fursa ya kuangalia mpira vizuri? Uwanja unaonekana mbaya? Ni shida gani inatokea uwanja ukiwa na running tracks? Maana naona ni ‘kila mtu’ sasa imekuwa trend kukataa running tracks na sioni mkisema sababu, naomba kuelimishwa tafadhali.
Nani kakwambia matumizi madogo? Kama facilities zipo unafikiri IAA hawatakuja kutaka michezo yao ifanyike hapo? Kwahiyo kinachotaka kufanyika Dodoma kujenga sports complex indoor and swimming arenas tuache? Hivi upeo wako na elimu yako iko vp mshikaji? Unajua kitu kinaitwa Cost Benefit Analysis? Kila facility ya serikali lazma iwe multipurpose.Uwanja haukosi sifa mkuu wala hauwi mbaya ukiwa na running tracks.
Ila kuweka yale madude kwa sisi hayana ulazima.Kwa sababu utumizi ni mdogo sawa na hakuna kabisa.
Viwanja vya hivyo viwe vichache tu hata viwili vinatosha.
Vilivyobaki viwe full football stadia.
Itizame BWM Stadium,mikapeti ya running tracks imekaa kiasi na kufubaa mpaka inaharibu taswira ya uwanja,na mikapeti yenyewe ukiulizwa ni lini imehodhi mashindano ya riadha huwezi hata kukumbuka.
Mkuu mie sijakataa hivyo viwanja kuwepo,ila viwe na idadi ndogo.Nani kakwambia matumizi madogo? Kama facilities zipo unafikiri IAA hawakuja kutaka michezo yao ifanyike hapo? Kwahiyo kinachotaka kufanyika Dodoma kujenga sports complex indoor and swimming arenas tuache? Hivi upeo wako na elimu yako iko vp mshikaji? Unajua kitubkinaitwa Cost Benefit Analysis?
The one at Kitale is really huge. Bigger than Afraha. Another one is being done in Siaya. A good one as wellStadiums construction everywhere in Kenya.
Masinde Muliro Stadium coming up in Bungoma County.
View attachment 2977979
View attachment 2977980
View attachment 2977981
View attachment 2977982
View attachment 2977987
View attachment 2977988
Ulimbukeni wa viwanja binafsi vya clubs za premier League!Hivi ngoja niulize kuna shida gani uwanja ukiwa na running tracks? Unakosa sifa ya kuwa uwanja wa soka? Unashindwa kuchezewa mpira? Watazamaji wanakosa fursa ya kuangalia mpira vizuri? Uwanja unaonekana mbaya? Ni shida gani inatokea uwanja ukiwa na running tracks? Maana naona ni ‘kila mtu’ sasa imekuwa trend kukataa running tracks na sioni mkisema sababu, naomba kuelimishwa tafadhali.