Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana tunawaambia hizi beef zenu na hasira zimetokana na inferiority complex na utoto. Kelis mwenyewe ashawai kuja Tanzania anajua mlima upo Tanzania. Hapo amesema tu anaupna Kilimanjaro ndio nyinyi Watanzania mmeanza kelele zenu. Ndio maana Kila siku mnasema tunawaibia vitu.😂😂
Hope keshajua tofauti ya Tanzania na Kenya, hakuna mtalii anarudi Kenya baada ya kufika Tanzania, no wonder tunawazidi tourist receipts tena kwa mbali sana.
 

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1784850644613918859?t=Ej_QRBD-6o_dNqkfj8T-9g&s=19
-404954475.jpg
-472319272.jpg
 
As long as it is our hamna utoto ni wivu unakusumbua! Mimi nimeweka comment pia leo! Popote pale utakapoona view ya Mt Kilimanjaro, it belongs to Tanzania comment itakuwapo! Huwezi kuona Watanzania wanacomplain kuhusu Kibera belongs to Kenya!
Sasa si uende uambie Kelis? Unaniambia ndio nifanye?😂😂
 

View: https://x.com/MsigwaGerson/status/1783510138688548889
Kagusia issue ya kutoa running tracks kwenye UHURU STADIUM ambayo nilikuwa naisema watu wakaniona mimi mjuaji, a soccer stadium does not need running tracks hata MKAPA ikiwezekana waitoe tu uwe full soccer stadium runniing trucks zibaki ARUSHA , plus kaongelea kujenga Dodoma stadium

Hii ikifanyika itakaa poa sana,hakuna haja ya running tracks kwenye dunia ya sasa ambayo inakuwa included nafootball pitch.........Ila hii AFCON kutokuipeleka Mwanza nahisi wanataka kututenga sana sisi watu wa Lake zone

MyTake;kuna vile viwanja vya ccm vimejaa nchi nzima,kwanini gavoo wasivichukue waviboreshe,nahisi pesa haitakuwa kubwa kiasi hicho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom