kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,327
- 2,144
TUambie hii picha ni ya mwaka gani ?Kwani ikiwa 1300km from Dar ndio nini? Mwanza is your second largest City alafu unatuambia 1300km from Dar ndio ionekane ipo kijijini? Huwa mnanifurahisha mnavyo post kitu alafu mnaandika sijui 1000km from Dar wakati mnaongelea one of the biggest urban areas in your country. Halafu huo uwanja bado ni wa ovyo ama unadhani hatuujui? Angle na good camera inaufanya uonekane una nafuu kidogo ila ni uwanja wa ovyo sana.