Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuwa na approval haimaanishi uwanja ni modern. Inamaanisha tu mmetilia maanani regulations ya vitu kama media center ambazo with a little renovation zinaweza wekwa tu. Kwa hivo usidanganywe na hiyo CAF. Huo uwanja wa Azam ni wa ovyo sana.
All your best stadiums failed CAF quality test but Azam ikapass so it means ni the best...
 
Kwani ikiwa 1300km from Dar ndio nini? Mwanza is your second largest City alafu unatuambia 1300km from Dar ndio ionekane ipo kijijini? Huwa mnanifurahisha mnavyo post kitu alafu mnaandika sijui 1000km from Dar wakati mnaongelea one of the biggest urban areas in your country. Halafu huo uwanja bado ni wa ovyo ama unadhani hatuujui? Angle na good camera inaufanya uonekane una nafuu kidogo ila ni uwanja wa ovyo sana.

mwanza-tanzania-02222023-aerial-view-of-the-ccm-kirumba-stadium-next-to-lake-victoria-2NM079F.jpg
TUambie hii picha ni ya mwaka gani ?
 
The things which amazes bongolalas😀??, this a local grassroots championship finals held today at mamboleo Kisumu city. Full to the brim and live streamed on YouTube for everyone to see. Obunga Fc (Nyanza) vs Langa (Riftvallley), Fans on the edge of their seats because of the bragging rights and cash prizes. Don't make a fuss out of normal things View attachment 2964561View attachment 2964563
Tanzania hizi tunaita Umiseta ni kwa ajili ya mashule....huwezi compare na ligi namba 6 barani Africa...by the way why Wakenya hawaendi viwanjani kuangalia mechi zao....ni kwamba hawana pesa or pesa ni ngumu sana huko Kenya😀
 
This time of the year I take family to Boston.. I usually time it with Boston Marathon weekend… but we stopped in New York.. and visited the Summit…. It’s when I was gazing the skyline from the top I remembered how some Bongo nut jobs claim Dar es Slum is the New York of Africa…🤣🤣🤣 take a look at this video I took and tell me .. does this look like the Uswazistan?…🤣🤣🤣
Una kaushamba fulani hivi😎
 
Tanzania hizi tunaita Umiseta ni kwa ajili ya mashule....huwezi compare na ligi namba 6 barani Africa...by the way why Wakenya hawaendi viwanjani kuangalia mechi zao....ni kwamba hawana pesa or pesa ni ngumu sana huko Kenya😀
You missed the point
 
Kwamba unataka wasaperee walipe hela kwenda kuangalia timu ya wakalee au jaluo?

No way.... 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom