Danganyinaks mataga hapa jf Kenyan section in the last 5-10 years ndo wamejua umuhimu wa miti kutoka kwa wakenya. Kabala ya hapo, Nairobi walikua wanaiitaa pori sasa wamejua Atlanta, Jo'burg etc zote ni pori na zimeendela kuliko dar-is-a-slum.darslam is a very exceptional city for all the wrong reasons.
atlanta View attachment 2087269View attachment 2087273
joburgView attachment 2087268View attachment 2087272
darslam is a very exceptional city for all the wrong reasons.
atlanta👇🏽 View attachment 2087269View attachment 2087273
joburg👇🏽View attachment 2087268View attachment 2087272
Kenyans are untrusted neighbourKenya walivyochinjana nani alikuja Kuwapatanisha ??
Na wale wakenya waliokimbilia Tanzania wakati wa uchaguzi na hata Mwaka Huu kujihifadhi jiulize kwanini .
Nyerere alikuwa tayari kusubiri kupata uhuru ili apate pamoja na Kenyatta .
Wakati wa jumuiya Tanzania Ndio ilikuwa strongest kiuchumi kenya akafanya hila jumuiya ikavunjika akabaki na utajiri wote wa jumuiya Tanzania ikaanza Upya .
Jiulize hapo Yupi mkorofi ?
Yani naongelea trees in cities, na ng'ombe inaongelea forest reserves in the middle of nowhere. Huyo hasaidiki.🤣🤣Effects of dropping out of school.....foul disjointed language with zero logic..What a pity
Wenzako watasema ni mapori. Wao wanataka concrete jungle.
Usisahau SingaporeDanganyinaks mataga hapa jf Kenyan section in the last 5-10 years ndo wamejua umuhimu wa miti kutoka kwa wakenya. Kabala ya hapo, Nairobi walikua wanaiitaa pori sasa wamejua Atlanta, Jo'burg etc zote ni pori na zimeendela kuliko dar-is-a-slum.
Generally tanzanians wana low IQ ju ya GDP ndogo na mfumo wao wa masomo ni wa kijinga kama hawajui umaana wa miti in the 21st century.
Umehepa hospitali?🤣🤣Nyie Wakenya mnapost picha na data za uongo sana hapa!
Acheni upumbavu!
Hizo picha sio za Johannesburg ni picha za Pretoria.
Watanzania wengi hawafahamu umuhimu wa green spaces. Hii tamaduni ya public green spaces ni foreign kwenye hii nchi. Pia sidhani kama Dar ina public parks.Wenzako watasema ni mapori. Wao wanataka concrete jungle.
yaani mambo yenu ni ya itakuwa....kuweni kama sisi tuko hapo tayari
Yaani mambo ya wa tz ni kutakuwa ....mnapanaga....tuonyesheni mambo yamekamilikaWatanzania wengi hawafahamu umuhimu wa green spaces. Hii tamaduni ya public green spaces ni foreign kwenye hii nchi. Pia sidhani kama Dar ina public parks.
Maeneo ya wazi ya kupumzika yenye miti ya kutosha ni muhimu kwenye majiji makubwa. Hata concrete jungles kama New York na Tokyo bado zina expansive green areas. Mimi sijui hata hizi local authorities zinafanya kazi gani. Mji wa watu milioni 7 hauna parks? Why? Dar needs to learn from other concrete jungles.
Greater Tokyo, Japan
Population: 37,000,000
View attachment 2087526View attachment 2087527View attachment 2087528View attachment 2087529
Nasikia kuna project ya ku-transform Msimbazi basin into a park? Labda hii itakuwa ni step nzuri.
View attachment 2087530View attachment 2087531
Watanzania wengi hawafahamu umuhimu wa green spaces. Hii tamaduni ya public green spaces ni foreign kwenye hii nchi. Pia sidhani kama Dar ina public parks.
Maeneo ya wazi ya kupumzika yenye miti ya kutosha ni muhimu kwenye majiji makubwa. Hata concrete jungles kama New York na Tokyo bado zina expansive green areas. Mimi sijui hata hizi local authorities zinafanya kazi gani. Mji wa watu milioni 7 hauna parks? Why? Dar needs to learn from other concrete jungles.
Greater Tokyo, Japan
Population: 37,000,000
View attachment 2087526View attachment 2087527View attachment 2087528View attachment 2087529
Nasikia kuna project ya ku-transform Msimbazi basin into a park? Labda hii itakuwa ni step nzuri.
View attachment 2087530View attachment 2087531
Kama Kenya wangekuwa wanasajili magari mengi zaidi yetu, tags (plate number) za magari yao zingekuwa na combination kubwa kuliko sisi. Combination ya namba za magari kwa nchi zetu hizi ni sawa, yaani (herufi 3, namba 3).Bado mtu atakuambia Tz kuna magari mengi kuliko ke,Huo mzigo hata kama sio wote ni wakwao lakini bado volume ni kubwa mara 3 na zaidi kuliko uliopita kwetu.
If you are a cool weather person.......Rift valley towns got you......Kericho ..Nakuru...Eldoret....Kitale@gameover, sio tu tea farms, pia ni venye kericho ni town safi na very green View attachment 2087455View attachment 2087445View attachment 2087442View attachment 2087446View attachment 2087465View attachment 2087451View attachment 2087443View attachment 2087458View attachment 2087460
Kama Kenya wangekuwa wanasajili magari mengi zaidi yetu, tags (plate number) za magari yao zingekuwa na combination kubwa kuliko sisi. Combination ya namba za magari kwa nchi zetu hizi ni sawa, yaani (herufi 3, namba 3).
State ya California (herufi 4, namba 3) kwa mfano, inasajili magari mengi kwa mwaka kuliko state ndogo ya kentucky (herufi 3, namba 3).