Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,168
- 9,536
Najua return leg mtapiga mtu kichapo cha mbwa, kisasi ya mwaka😂😂Kocha mbwa sana yule.
Najua return leg mtapiga mtu kichapo cha mbwa, kisasi ya mwaka😂😂Kocha mbwa sana yule.
Kwanza tufukuze hii takataka.Najua return leg mtapiga mtu kichapo cha mbwa, kisasi ya mwaka
Watakuwa wanapiga nWakat unapiga dole angalia kalio lako umeweka wap
Yaani unatuwekea vitu vya game pc,checki maneno. luxury kenyan buses View attachment 1938009View attachment 1938010View attachment 1938011
Kenya wapo local Sana vitu quality marufuku kwao 🤣🤣🤣Nimecheka sana wallahi, yn hii inazd kudhihirisha jamaa wana usafiri mbovu mnoo, yn cc tunaweka vyombo vya kisasa jamaa wamekosa mabus mpk wanaweka mikangafu, alafu kumbe kuweka madumu juu ya bus ndio utaratibu wao
Wake up! bado unaota🤣🤣🤣🤣🤣🤣nabadooooo.. wacha hio iwe mada ya kesho. mtajua hamjui. mwanzo hizo mabasi zenu zote, ziliokwa tu hapahapa kenya. sababu tz hakuna kiwanda cha mabasi.. nyinyi mnafanya tu ku importi toka kenya, kisha kupachika numberplate zenu na kupaka rangi za bendera yenu
Tatizo mama anapenda kujikita kwenye mambo ya kipumbaavu na kuacha mambo ya msingi swala la sensa ni upumbavu na kuchezea pesa mifumo ingekuwa ipo vizuri wangejua kila wanacho kitaka kukijua bila ya sensa mfano wanao zaliwa na wanaokufa ,wageni wanao ingia tz wanafunzi ,wafanyakazi nk ,haya mambo ya sensa ni matokeo ya kukosa viongozi makini wenye kuunda mifumo makini inayo ratibu takwimu mbalimbali siku kwa siku
Wewe akili zako kama za wakenya , tatizo hapo hizo pesa toa ufisadi utagundua kuwa chini ya mama 50% ya pesa inatafunwaumeme vijijijini
Huyo mama samia hana AKILI, Raisi ni lazima uwe open ,kueleza sababu za waziwazi za kumfuta mtu kazi au kumshusha mtu cheo au kumpandisha mtu cheo hii inafaida kubwa sana katika kujenga serikali yenye muelekeo mmoja siyo serikali vuluvuluGood maana mimi na wewe tukibishana ni kupoteza muda unataka kuniaminisha kaonewa na wizara ya nishati si mradi wa JNHPP pekee kuna miradi chungu nzima kuanzia makaa ya mawe (hamna makubaliano na waliopewa vitalui vya uchimbaji), gesi (kinyerezi II haijaisha) na pia vyanzo vingine (jua, joto ardhi n.k.)
Upumbavu na upuuzi wa huyu raisi ni mmoja mkubwa sana ni kufanya mambo bila ya kutoa sababu za wazi hasa katika kutengua au kuteua au kushusha au kupandisha cheo mtunimekuacha si kwa sababu nimekubaliana na hio post ulioleta.. probably hujui uhalisia.. afu husemi katumbuliwa sababu gani.. mara unarukia hili mara hili jingine... you mean he was worst in all those projects?
FYI, kwenye REA, believe it.. he was the best one kufatilia miradi ya REA..
kinyerezi II haijaisha nn na mim nipo huko???????
TATIZO LENU WAKENYA VITU VYENU VIZURI HAVIPO "LIVE" UWA MNAPIGA PICHA ZA VITU VIPYA NA KUIFADHI HIZO PICHA MPYA LAKINI KWENYE LIVE VITU NI TOFAUTI HAYO MABASI UNAYO POST NI MACHACHE TENA UKIAMBIWA ULETE PICHA ZA UPDATE ZA HAYO MABASI NI SKREPA TUPU
Wakenya ni wajanya wanapost picha za vitu vilipo kuwa new wakati update zimebaki skrepa
Weka hayo mabasi picha za sasa za video zikiwa vituoni zikipakia abiria maana tunataka video nyingi za Live tuone wakenya kwa mapicha ya show tu mnaweza sana ila mambo kwa ground ni tofautinabadooooo.. wacha hio iwe mada ya kesho. mtajua hamjui. mwanzo hizo mabasi zenu zote, ziliokwa tu hapahapa kenya. sababu tz hakuna kiwanda cha mabasi.. nyinyi mnafanya tu ku importi toka kenya, kisha kupachika numberplate zenu na kupaka rangi za bendera yenu