Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,389
Utofauti upo mkubwa sanaNionyeshe tofauti Kati ya kibera slum Na hii middle income estate yenu
View attachment 1180787
1.kibera ni slum (almost 2.5mill dwellers) meanwhile hiyo picha ni unplanned settlement (approx 70000 residents)
2.kibera ni mabanda iron-sheets full suit from up downside meanwhile the photo shows the houses made up of blocks and cements
3.hakuna mabati ya rangi katika makazi duni ya kibera meanwhile katika hiyo picha there a lot of them
4.no roads in kibera while in the photo you can see several roads even tarmaced
5.hakuna ghorofa hata moja kibera
6.kibera uchafu ni everywhere while in the photo huwezi ona uchafu
7.hakuna nguzo wala waya wa umeme hapo kibera,kwenye picha utaona jinsi umeme iliyotapakaa kila nyumba
8.hakuna BRT kibera
Huo ndio utofauti ndo maana kibera ikawekwa ya kwanza duniani katika slums mbaya zaidi...