Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyeshe tofauti Kati ya kibera slum Na hii middle income estate yenu
View attachment 1180787
Utofauti upo mkubwa sana
1.kibera ni slum (almost 2.5mill dwellers) meanwhile hiyo picha ni unplanned settlement (approx 70000 residents)
2.kibera ni mabanda iron-sheets full suit from up downside meanwhile the photo shows the houses made up of blocks and cements
3.hakuna mabati ya rangi katika makazi duni ya kibera meanwhile katika hiyo picha there a lot of them
4.no roads in kibera while in the photo you can see several roads even tarmaced
5.hakuna ghorofa hata moja kibera
6.kibera uchafu ni everywhere while in the photo huwezi ona uchafu
7.hakuna nguzo wala waya wa umeme hapo kibera,kwenye picha utaona jinsi umeme iliyotapakaa kila nyumba
8.hakuna BRT kibera
Huo ndio utofauti ndo maana kibera ikawekwa ya kwanza duniani katika slums mbaya zaidi...
 
Kuna mtu naona hajui maana ya slumπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Anafkiri yeye anaakili kuliko mzunguView attachment 1179725
This mentality of revering the white man like a God is sickening..! Mwalimu Nyerere would turn on his grave if he saw what has become of his people that he tried so hard to emancipate from what rule and dominance. I believe we can engage in more mature African debate of self-belief.
 
IMG_1806.JPG
 
Coffee production 2018/19
In east africa πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Uganda 294,000 metric tons
Tanzania 65000 metric tons
Kenya 61000 metric tons
Rwanda 16500 metric tons
Burundi 12900 metric tons

6BDC678F-664F-41A0-88D4-EA8F503D00A1.jpeg
 
Manzese tangu lini pakawa middle class?
Na hata ivyo manzese,mwananyamala,gomz, bado kuna nafuu mziki wa kibera mnajua wenyewe no mzito sana
Kama sio middle ni nini? Upper middle class? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom