unapenda vitu za kijinga i really doubt your age i think youre a teenager or your boy is using your accountnionyeshe mtz yoyote maarufu aliyetembelea kenya akavaa t-shirt iliyoandikwa kenya.
Cool down dude.unapenda vitu za kijinga i really doubt your age i think youre a teenager or your boy is using your account
ilikua usambazane mchele tanzaniaCool down dude.
Tanzania safari hii mchele ni mwingi sana, watu hawahuitaji sana, mvua zimenyesha vizuri na mazao mavuno yamekuwa mengi, wafanyabiashara wa mchele kutoka Commoro wameshindwa, Kenyw hampendi sana mchele wala Zambia, hivi kwanini ninyi hampendi wali?ilikua usambazane mchele tanzania
ati mtz aliytetembelea Kenya akavaa shati ya Kenya? lol! is this guy really a grown up? sasa battle imegeuka na kuwa mchezo wa kitoto...ati tunafananisha ni nani aliyevaa shati ya Kenyaunapenda vitu za kijinga i really doubt your age i think youre a teenager or your boy is using your account
inaitwa kujitangaza...ina manufaa tele katika sekta ya tourism...kuweni wajanja...sahii mnafaa kuwa mnapata watalii milioni tano kuenda juu ila ujinga wenu umewakwamisha kwa mil 2, the same as Botswana...mtu kama usher akija serengeti ama kwingine huo ni muda wa kujitangaza duniani koteWatu wakubwa wanakanyaga ardhi iliyobarikiwa lkn hutaskia tukitangaza. Kwetu hiki ni kitu cha kawaida. RickRoss kaja, Omarion, Neyo ila hatuna sifa za kijinga km wenzetu Wa mathare
When you say Kenya I hope you mean Locals.. Kama unamaanisha Kampuni cha Chinese au Holland yenye tawi Kenya ikaja kuwekeza Tz in the name of Kenyan Company that's nonsenseKenya is Africa's largest investor in Africa...watajua hawajui hawa mafala
jamaa hawana estates ...wote wamekwamiana pale CBD kama viberiti...Daresalaam aerial view
you wish.....hahaha
Sasa kenya leo imekuwa Holland?kwani kiingereza kigumu au?China is an african country?nakushauri usome that statement again and again until you understand itWhen you say Kenya I hope you mean Locals.. Kama unamaanisha Kampuni cha Chinese au Holland yenye tawi Kenya ikaja kuwekeza Tz in the name of Kenyan Company that's nonsense
Ask why he came first.. It means tunajitangaza... Sasa nyie hamjitangazi mnachofanya ni kuonesha Ushamba na kuringainaitwa kujitangaza...ina manufaa tele katika sekta ya tourism...kuweni wajanja...sahii mnafaa kuwa mnapata watalii milioni tano kuenda juu ila ujinga wenu umewakwamisha kwa mil 2, the same as Botswana...mtu kama usher akija serengeti ama kwingine huo ni muda wa kujitangaza duniani kote
your very stupid....usher or any other celebrity has alot of followers on social media...sasa ukijitangaza naye una appeal kwa hawa followers...we pimbi au?kuna followers wajinga sana...akiskia jamaa wake yuko serengeti, anapanda ndege mara moja muenda kujionea....sasa mkinyamaza utalii unakua aje? ebu jiulize mbona Tanzania inashindwa kwa utalii na nchi kama Zimbabwe? Tanzania has more tourist attractions than Zimbabwe or Botswana but you receive less tourists...why?Ask why he came first.. It means tunajitangaza... Sasa nyie hamjitangazi mnachofanya ni kuonesha Ushamba na kuringa
ila mna njaa.we aren't ldc
Wewe umesema kenya ni ya pili kwa kuwekeza Africa, Sasa hao Investors ni Locals black Kenyans au Wakoloni walio KenyaSasa kenya leo imekuwa Holland?kwani kiingereza kigumu au?China is an african country?nakushauri usome that statement again and again until you understand it
mtanzania yupi kavaa shati ya Kenya??ila mna njaa.
Kenya overtakes SA as biggest investor in African countriesWewe umesema kenya ni ya pili kwa kuwekeza Africa, Sasa hao Investors ni Locals black Kenyans au Wakoloni walio Kenya