So what hizo ni vitu za kawaida there's no story there...wakati kama huu wa mafuriko it's expected kutakuwa na power interruption... Vipi geza jana watu 11 wamekufa morogoro kutokana na mafuriko inashangaza unaconcentrate na kenya ni kama these things hazihappen kwinginethat is a collection of one week! From 7 days back! U want for the whole year? 😀
Unataka kumaanisha Tanzania hakuna mafuriko? sio nyie mlitucheka baada ya daraja a Kiyegea kukatika?So what hizo ni vitu za kawaida there's no story there...wakati kama huu wa mafuriko it's expected kutakuwa na power interruption... Vipi geza jana watu 11 wamekufa morogoro kutokana na mafuriko inashangaza unaconcentrate na kenya ni kama these things hazihappen kwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mtu mwenye akili timamu atachekelea majangaUnataka kumaanisha Tanzania hakuna mafuriko? sio nyie mlitucheka baada ya daraja a Kayegea kukatika?
i sawa both upperhill and CBD in the same pic😂😂😂😂😂
juzi mumelalamika kuhus kwamba hamuamini test za uganda hahaha unajifanya umesahauMbna huskii wakenya wakilalamika eti madereva wake wengi wanapatikana positive uganda?Ata serikali ya uganda ikaamua kufunga mpaka wake na kenya sidhani kama itakua ngumu kwa wakenya kuelewa. Kwenye hili la corona halitaki siasa na unafiki kinachohitajika ni cooperation
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu hewani now
Hawako busy na Tanzania kibahati mbaya bro,nia yao sio nzuri dhidi yetuwako bzy na tanzania 👇👇👇 shida zimejaa kwenye kende zao
Hii kauli nimecheka sana [emoji23]"Hakuna cha lockdown wala baba yake na lockdown, waache wajilockdown wakimaliza tunawakaribisha waje tuwasaidie" in Magu voice[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Af kwny sakata la madereva km alitaka kuwapiga watu mawe directly sema akatumia kuwapiga indirectly [emoji3][emoji3][emoji3]Hii kauli nimecheka sana [emoji23]
Nchi zilizo jifungia [emoji23]Af kwny sakata la madereva km alitaka kuwapiga watu mawe directly sema akatumia kuwapiga indirectly [emoji3][emoji3][emoji3]
Magu kiboko aisee, kwa Afrika hii hakunaga, we subiri kesho utasikia aliyoyaongea yote utayakuta kwny lugha ngeni, kuanzia English, Portuguese mpk French[emoji3][emoji3]Nchi zilizo jifungia [emoji23]
Umesahau kikamba na kiluyaMagu kiboko aisee, kwa Afrika hii hakunaga, we subiri kesho utasikia aliyoyaongea yote utayakuta kwny lugha ngeni, kuanzia English, Portuguese mpk French[emoji3][emoji3]
Hadi kwenye zile media zao za kikabila [emoji23]Magu kiboko aisee, kwa Afrika hii hakunaga, we subiri kesho utasikia aliyoyaongea yote utayakuta kwny lugha ngeni, kuanzia English, Portuguese mpk French[emoji3][emoji3]