Nimekuwa nikisema hapa miaka mingi kuwa uwezo tunao ila nimekuwa nikibezwa kuwa ni nadharia tuu.Ni magufuli kafanya sasa watanzania tuna uthubutu wa kuwaza hivi kwa mambo ambayo zamani yalionekana impossible kwa Tanzania, sasa magufuli kafanya possible
Ndio maana watanzania tumeshajijengea tabia kwamba kwa sasa kila kitu kinawezekana, viva JPM viva Tanzania
Zile kauli za JPM kwamba Tanzania tunaweza sasa zimezaa matunda kwenye fikra za watanzania.
but hospitali ya tufaa inajengwa bro geitasema unafadhiliwa na serikali kuu! Serikali ya Mkoa wa Geita sidhani kama ina funds kiasi hicho! Uwanja wa watu 80,000 ni kama wa Mkapa Dar! Mie nawashauri wamalizie ule uwanja wa Ndege na pia wajenge Hospitali ya Kisasa kama Mloganzila for medical tourism kama inalipa na proximity to DRC, Rwanda and Burundi itaifanya isikose kujiendesha vizuri ! Au hata technical university! ππππ
Yaani Kuna time hata sisi wanaotuita fanatic wa JPM kimoyo moyo tunaona kama mzee kayumba kwenye certain issue lakini mwisho wa siku anatu outsmart mpaka aibuNimekuwa nikisema hapa miaka mingi kuwa uwezo tunao ila nimekuwa nikibezwa kuwa ni nadharia tuu.
Ila Magu noma aisee, kila kitu anachofanya kina barikiwa, na anajua kuruka viunzi na mitego mingi. Ona ishu ya Kibiti, makinikia, bwawa la umeme (watu wa mazingira), kununua ndege (Leo imeenda India kubebea wabongo), hivi vyote vilikuwa ni visiki vikubwa sana. Na sasa hii Corona anavyoipangua, hata Maradona haoni ndani.
Kanda yaziwa Viwanja vipo[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
lakini msisahau populationa ina kua na dunia inakwenda na wakati kwa speed ni jambo jenma kila mkoa kuanna uwanja wa kisasa kwa faida ya taifa moja wapo kukuza viwango kwa vijana na kuhamasisha ushindani wa league kuuKanda yaziwa Viwanja vipo
Nikuviboresha tu Na kuweka Nyasi Nzuri
Hao watu 80 Elfu Geita wapo!
Upande wangu nijambo zuri lakini sio wakati wake
Hiki ni cha Tabora
View attachment 1451456View attachment 1451457View attachment 1451458
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
Yes Hii ya Geita ni habari ya kusogeza tu siku nahisiKanda yaziwa Viwanja vipo
Nikuviboresha tu Na kuweka Nyasi Nzuri
Hao watu 80 Elfu Geita wapo!
Upande wangu nijambo zuri lakini sio wakati wake
Hiki ni cha Tabora
View attachment 1451456View attachment 1451457View attachment 1451458
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, kuna mambo anafanya kwa akili ya kibinadamu hayasomeki lakini mwisho wa siku, unashangaa matokeo.Yaani Kuna time hata sisi wanaotuita fanatic wa JPM kimoyo moyo tunaona kama mzee kayumba kwenye certain issue lakini mwisho wa siku anatu outsmart mpaka aibu
Kitu kikubwa nilichokiona kwa JPM ni special charisma, vision yake sio ya binadamu wa kawaida, na ni mtulivu sana kwenye kufanya maamuzi, hakurupuki wala hafati mkumbo lakini mwisho wa siku anakuwa genius.
Ohk japo nilimaanisha hospitali kama ya Mloganzila/Mkapa!but hospitali ya tufaa inajengwa bro geita
Jubilee is hitting them hard! Hii itakuwa Tanzania imesababisha!
Sure mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Nimekuwa nikisema hapa miaka mingi kuwa uwezo tunao ila nimekuwa nikibezwa kuwa ni nadharia tuu.
Unajua majority ya watu wanahitaji ruhusa ya kufanya mambo, ni watu wachache sana wenye uthubutu wakufanya maamuzi yao wao pekeyao. Alichokifanya Rais ni kuwapa watanzania permission ya kutambua kuwa tunaweza. Tunaweza kumwambia Barrick hapana, tunaweza kuwaambia wajerumani, "kama hamtatupa mkopo wa kujenga SGR tutajenga kwa fedha zetu".
Na hii ndiyo sababu hasa ya Magu kuchukiwa na mabeberu, yeye anawafumbua macho waafrika wengine na kadri siku zinavyoenda itaondoa unyonyaji Afrika.
Ila Magu noma aisee, kila kitu anachofanya kinabarikiwa, na anajua kuruka viunzi na mitego mingi. Ona ishu ya Kibiti, makinikia, bwawa la umeme (watu wa mazingira), kununua ndege (Leo imeenda India kubebea wabongo), hivi vyote vilikuwa ni visiki vikubwa sana. Na sasa hii Corona anavyoipangua, hata Maradona haoni ndani.
Bidhaa adimu Nairobi![emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji122][emoji122][emoji122]
Swala la maji tuko vizuri nchi nzima
anha ila pia eneo bado ni kubwa sana hapo uwezo upo wakueka hopital ya kisasa zaidi na zaidiOhk japo nilimaanisha hospitali kama ya Mloganzila/Mkapa!
πππ anhh kila kitu tanzaniaJubilee is hitting them hard! Hii itakuwa Tanzania imesababisha!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ White elephant kang'olewa meno na majangili ππππ
Mkuu umemaliza JPM ni heavenly sent.Kweli kabisa, kuna mambo anafanya kwa akili ya kibinadamu hayasomeki lakini mwisho wa siku, unashangaa matokeo.
Mama yangu aliwahi kuniambia kuna watu walifunga na kuiombea sana nchi hii, ipate kiongozi madhubuti. Hasa baada ya kupatikana kwa gesi. Na kwa jinsi Magu alivyopita pita kimiujiza, mpaka akawa mgombea wa CCM, ni dhahri kuna divine power wala siyo yeye.
Imagine hii issue ya kusema huu ugonjwa tuuzoee kuishi nao kama ilivyokuwa surua, leo hii WHO na Uingereza wanaongea maneno yale yale, nukta kwa nukta. Ni lini hawa jamaa waliwahi kumfuata mwafrika katika maamuzi yao?
Tusubiri tuone, ila mazuri mengi yanakuja... ndiyo maana wakenya hawalali hapa kupiga domo kuhusu Tanzania. Tena wengine unaona kabisa wapo kwenye payroll za kupiga propaganda na ku instigate chaos.