Aki nimecheka leoππππTreni ina sura ka barakoa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1450308
Naona mnahangaika kutafuta ya nne[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo mana nkakuambia usichokoze moto utaungua vu..z ukabisha, yn nyie hakuna sehemu ambayo mtaishinda Tz hakuna [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Subutu, km ile ingine tu mliipiga rangi ya nyumba[emoji1787][emoji1787]Magu hapendi uharo[emoji3][emoji3]
umeridhika au badoππππNaona uliipost km ya 2018[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbona unatumia nguvu nyingi ili tuwe sawa..
View attachment 1450349
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana. Hawa jamaa kichwani kuna matatizo mengi.nyingine hii hapa 2016 ππππ
Basi utakuwa mshamba[emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana. Hawa jamaa kichwani kuna matatizo mengi kichwani
Tafuta ya nne[emoji1787][emoji1787]umeridhika au bado[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchina si mtu mzuri
VS
unapaswa unyamaze mzee!
Ww leta machine km hii tukuelewe, Eurocopter H225 maamaee[emoji116][emoji116]Basi utakuwa mshamba[emoji1787][emoji1787]
Kwn chopper huaga hazianguki, km zile zenu mbili mmezifungia chato kisa kubana matumizi zitaanguka wapi..
Chopper za kenya police zinapiga misele kote kote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww hii unavyoona ni rangi ya ndege hii, ndo mana zinadondoka kwa uzito, rangi ya bati mnapiga kwny ndege [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Subutu, km ile ingine tu mliipiga rangi ya nyumba[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dude lina mapezi km papaMchina si mtu mzuri
Maneno ya khanga sitaki[emoji1787][emoji1787]Dude lina mapezi km papa
Hyo ndio attack helicopter yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww leta machine km hii tukuelewe, Eurocopter H225 maamaee[emoji116][emoji116]View attachment 1450363
Machine anayotumia Mike Pence, huku kwetu anatanulia PM hatuwezi kuwa sawa [emoji3][emoji3]
Nilijua tu lazima uumiee[emoji3][emoji3]Hyo ndio attack helicopter yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jomba, we tulia tu km lile jiwe la chato
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani yametumika kwenye vita kuu ya dunia wao wakauziwa mwaka 2014Dude lina mapezi km papa