Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti hako kasehemu ndiko kakulinganisha na ngong[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda uongeze, cbd, kijiko ya nyama, upanga north,south, east, west ndio labda zinaweza kufikia ngong

Sent using Jamii Forums mobile app
mamameee CBD alone uchukuwe westland upperhill + CBD yenu combined ndio upate density ya Dar CBD😂😂😂👇👇👇

 
Yani kaeneo drone ikipanda haijisumbua ku turn pashaisha tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nairobi kuna kariakoo zaidi ya kumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
uheheheheh kariakoo acha nayo kabisa kwamba nairobi kuna kariakoo kumi na ikiwepo hio nusu mm nakunya uchi barabarani😂😂😂😂😂
 
Nakuchekesha na wakati bado unahangaika kufikia level hyo..

Yani hta ukitafuta tanzania nzima huwezi eneo km hilo kw resindetials[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ukipata uswazi nitag, au nikuletee uswazi kariakoo ndio uamini

Sent using Jamii Forums mobile app
kariakoo isikuumize kichwa achana nayo tu 😂😂😂😂😂 kwamba nairobi kuna kriakoo kumi leo nimecheka sana 👏👏👏👏
 
hehehehe raha sana leo wametafuta njia yakutokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] baada kuona kibano sasa imekua concrete
Si ni kweli, concrete iliyoezekwa vioo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maskini mturuki, yani kila stesheni kituko jamani..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba muna kariakoo 10 yani mukipata nusu ya kariakoo mm nafunga acc jamii forum [emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Naona uanogopa kuona residentials hapa..
Yani drone inachukua mpaka kesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani ukileta video amabayo utakuta resindetials km hvo ngong natoka jf...
Hzo ni sawa kariakoo kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilala ile ya uswazi katikati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂👇👇👇👇👇
956A35A3-C17D-4A32-80E0-7D873513A566.jpeg
 
Naona uanogopa kuona residentials hapa..
Yani drone inachukua mpaka kesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani ukileta video amabayo utakuta resindetials km hvo ngong natoka jf...
Hzo ni sawa kariakoo kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
manake drone imeonesha nairobi nzima maana naona kila pembe westland kilimani CBD 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom