ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
stesheni gani hio muna ubavu wakufanana na station ya dar nyinyi??😂😂Kama yule aliyechemsha katika ile stesheni yenu ya dar[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
stesheni gani hio muna ubavu wakufanana na station ya dar nyinyi??😂😂Kama yule aliyechemsha katika ile stesheni yenu ya dar[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba casablanca ukiotaja ww ndio club munayotegemea mombasa😂😂😂Muelezo mwenzio akuelewe bana, mbona upo kw denial km hzo ndio club zako[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
umepanic nilijua tu 😂😂👏👏👏
Kila kitu wanataka kuiga kutoka kenya sekta ya barabara mijini..
Wameona thika na wao wakaamua kujenga kituko, sai nako hko kwao eti wameanza kupanua barabara..
Waje wachukue somo
Sent using Jamii Forums mobile app
hzo ni pic za mwaka jana june ngoja nikipa hio barabara nikuletee za mwaka huu unajitia uchizi subiri dawa iingie kwanza😂😂👏👏Maskini[emoji24][emoji24][emoji24]
"Hyo ndio 65% compeletion"
Kweli bongo kuna vituko[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
F2 nayo ni club 😂😂😂😂 kweli muna safari ndefu sanaBado unaumia kuskia f2 ni club ya watoto zama zile[emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali, ukija kenya fuatana na wajanja wakufundishe usije ukapigwa km yule mwenzenu aliyeuziwa kachumbari[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
umepanic vzr sana 👏👏👏👏😁😁
Sasa ilikuwaje kuwaje ukapelekwa club ya mda mrefu vile[emoji23][emoji23][emoji23]F2 nayo ni club [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli muna safari ndefu sana
wanalipwa kwa wakati baada ya kuhakikiwa huwez lipa madeni hewa tu lazma wathibitishwe ndio walipwe, magufuli halipi madeni hewa never everUnatafuta pa kutokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ya nini zile mbwembwe zote halafu mkashindwa kuwalipa kwa wakati..
Tena tusubiri mda tu, utasikia kuna wengine hawajamaliziwa hela zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ziwe za mwaka juzi, bado 60% kw uharo huo[emoji23][emoji23]hzo ni pic za mwaka jana june ngoja nikipa hio barabara nikuletee za mwaka huu unajitia uchizi subiri dawa iingie kwanza[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122]
hii nayo ni club aisee munasafari ndefu sana😂😂😂👇👇👇👇Sasa ilikuwaje kuwaje ukapelekwa club ya mda mrefu vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Manake f2 ina umri sana mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hyo sindano imeingia mahala pake[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]hatujaona bado barabara ya kuja kuchukua somo bado sana vp mlivokuja kuchukua somo la BRT mlijua BRT ni sawa na kula bajia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
sio 60% tu bi over 65% na bado huu mwaka mutatapika 😂😂👇👇👇 na hio ni mwaka janaHata ziwe za mwaka juzi, bado 60% kw uharo huo[emoji23][emoji23]
Yani nimecheka sana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu tunasoma mazee halafu anakuja mjinga anapelekwa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba casablanca ukiotaja ww ndio club munayotegemea mombasa[emoji23][emoji23][emoji23]
kwamba tanzania ipoteze muda kujifunza ushuzi 😂😂😂😂 haitatokea mpaka yesu ashuke mark my wordsNaona hyo sindano imeingia mahala pake[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Halafu katika hyo videoa umeona kariakoo ngapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
so ndio munategemea hio mombasa nzima sasa muko nyuma miaka mingapi 😂😂😂😂Tangu tunasoma mazee halafu anakuja mjinga anapelekwa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kw kituko kile[emoji23][emoji23][emoji23]stesheni gani hio muna ubavu wakufanana na station ya dar nyinyi??[emoji23][emoji23]
last year😂😂😂👇👇👇 it was 45%Hata ziwe za mwaka juzi, bado 60% kw uharo huo[emoji23][emoji23]
Yani nimecheka sana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini, yani ndio naanza kuelewa km huijui mombasa..mara ya mwisho nilipokwambia uthibitishe km ulikuwa mombasa uliruka ruka..so ndio munategemea hio mombasa nzima sasa muko nyuma miaka mingapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]