Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

thread imegeuka kuwa uwanja wa kupiga propaganda badala ya kuonyesha picha.SMH.
 
Naona sasa heshima imeanza kushika hatamu yale makelele ya mwanzo yote yamepotea. Wakenya wametulia kama wamenyeshew mvua.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Inaonesha unaumia sana kuona Tanzania inawachapa kila kona hahhahhaha
Tuliza mshono 2.5 yrs sio mbali
 
Inaonesha unaumia sana kuona Tanzania inawachapa kila kona hahhahhaha
Tuliza mshono 2.5 yrs sio mbali
Ivo ndio bagamoyo port mlisema...then mkifika Moro tumefika uganda... Mkifika mwanza tulishafika DRC then rail yenu inakua white elephant project
 
I have been to an Eldoret vs mwanza thread and Eldoret appears even bigger......Tanzanians jameni.....what do you do with your resources? ??honestly?
Jipe matumaini nilikwambia Mwanza sio size yako Mwanza ni size ya Mombasa ukubali ukatae
 
IMF Has

Am telling you I visited those so called "cities".... I expected to see Bonge la Jini kufika ni Joke of the year......
 
Ivo ndio bagamoyo port mlisema...then mkifika Moro tumefika uganda... Mkifika mwanza tulishafika DRC then rail yenu inakua white elephant project
Nilikwambia Tanzania kuna 5 ports na zote ziko in service elewa nachokwambia hatutegemei only dar port.. Tulieni mulijenga sgr yenu tulikua kimya sasa ni zamu yetu tuoneshe dunia sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
5 ports na combined capacity haifiki nusu ya Mombasa...
 
Mombasa ni size ya Dar...Mwanza size yake Kisii.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ unatapika kiasi hicho
1590.5 km sq hahahaha tafuta urban city kubwa kama hii nenda east and central Africa ukipata ilete hapa........bongooooooooo dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…