Haiwezi wekwa Umeme ,sababu madaraja yenu yamejengwa membamba uwezi kuweka mifumo ya Umeme hadi myabomoe yote na kujenga upya yenye beam4 hivi siyo beam2 kama yalivyo yenu tena mengine mmejenga hayatumii beam ni midude kama box imeegeshwa hii ndiyo sababu serikali yenu ilikwama kuchenji gia hewani ya kuweka Umeme hilo liesijiara lenu, ni kama mlivyo bugi kwenye ujenzi Wa flyover zenu zote hamkuzingatia mifumo ya BRT wala TRAM tofauti na Tanzania flyover zetu tumezingatia mifumo ya brt
Send by APOLO 1