Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli ndio famous president from Africa huwa naona hata habari za kawaida tu zikiripotiwa na mataifa ya mbali kama Ghana, Cameron, et

Akiongea na watanzania ukanda huu wote wanamsikiliza
Magu kiboko aisee, af huwa anaspeech nzr ambazo kiukweli huwa znamvuto sn.
 
Tumia hata kijaluo mkuu tukuelewe[emoji3][emoji3]
 
Sijui omeona nini hapa cha ajab??? Ama ni lights???
Ukizima hizo taa utabaki na a plain and ugly hall.
Kenya hizo ni vitu za kawaida
 
Sina hasira., covid19 iishe tutafutane., utafurahi sana[emoji23][emoji23][emoji23], hapa ni mahali pa mjadala, opinions with facts kiasi na kutaniana, mtu wa hasira hapa atakimbia., hakuna kitu serious hapa at all., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naona kama nikama umepanic hvi [emoji23][emoji23][emoji23] punguza hasira plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…