Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi data hazijawahi kumuacha mkenya Salama[emoji23][emoji23]
Zimewaumiza sn, af cc huwa tunazitumia km fimbo tukiona wanajisahau tu na kuanza kujilinganisha na cc tu tunazitupia zen kimyaa [emoji3][emoji3][emoji3] raha sn aloo
 
Kwenye Taarifa yako si umemtaja ummy mwalimu kwamba ndio katoa report ya cholera Tz, hio si tayari inamaanisha serikali, Taarifa yako ni ya uongo umeandika mwenyewe hiyo habari
Huwa wanafanya kila njia tuwe sawa, yn wameshindwa kwny njaa na locust tu [emoji3][emoji3]
 
M
Mbona over 70% ya Dar residents are poverty stricken?., nyie bado sanaa, kama many African countries, ila wengi wenyu ni hovyo EAC na SADC (simaanishi sisi tuko nafuu, sisi tunakubali mapungufu), jitahidi mtafaulu, hasa vijana wachangamke, si kuzubaa kwa beach na kuweka vipicha vya Oyster Bay hapa na kwao bara kijijini bado wako matopeni.,
 
Ss mbn mwanzoni mlikuwa mnazikataa hizi report [emoji3][emoji3] mlikuwa kwenye Denial stage, sahivi mpo kwenye Acceptance stage mshakubali eehh[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huwa wanafanya kila njia tuwe sawa, yn wameshindwa kwny njaa na locust tu [emoji3][emoji3]
Kaka, licha ya mapungufu yetu hatuwezi linganishwa na nyinyi., size yenyu ni kina Cameroon, na your neighbours kama Malawi, Mozambique etc, system tofauti, raiya wazembe, uchumi duni raiya wengi😂😂😂 tuko na mapungufu lakini tunamenyana nayo, hatuombi chakula tunanunua, hatukubaatika kupata nchi yenye uzalishaji kila upande, zaidi ya nusu ni jangwa, viongozi wako corrupt, ukabila n.k., na bado mko chini yetu, hamuoni aibu?
 
Hongera km cku hz hamuombi tena chakula [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Hongera km cku hz hamuombi tena chakula [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1438430
They donate willingly, kujependekeza for the sake of their interest,(study political science kaka), Kenya ingefaa ikatae kama vile Fidel Castro alivyokua akifanyia marekani walipojipendekeza na misaada ya chakula, viongozi wetu sio Pan Africanist, hayo kando, nyie wachoyo hamjawai toa msaada wakati tunapatwa na majanga, serikali yatu hunatuma pole na misaada ikiwezekana kwenyu.,
Hatuombi chakula, na hamutulishi, tunanua kutoka kwenyu na kwingineko.
 
Nimekuambia acha comparison na hi tajiri, wacha useng**
That is the pattern ukatae ukubali, wachache wanamiliki uchumi nchi mingi sana dunia yote, ata ukienda Malawi ldc mwenzenyu ni hivyo., wewe basi weka hapa maoni yako nisome...
 
Lini serikali yenu ilitoa msaada kwetu? 😂😂😂😇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…