The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Mkuu nimecheka hapo kwenye diesel sgr [emoji3][emoji3][emoji3]Waanze kufikiria route za Mombasa from Dar via Zanzibar! Nina uhakika wale wa SGR Nairobi-Mombasa wataunganisha kwenda Zanzibar na fast ferries!
Pata picha unatoka Nairobi mpaka Mombasa SGR then unafika Mombasa unachukua Zanzibar fast ferry au Azam marine fast ferry unafika Zanzibar unakula good time then unachukua Zanzibar fast ferry au Azam marine fast ferry tena mpaka Dar unakula good nightlife time.
Then unachukua electrical SGR all the way to Mwanza with a stop at Dodoma. then from Mwanza unakula another good lake time. Then unachukua New Victoria/MV Mwanza (the only cruiseships in Lake Victoria) mpaka Kisumu then unachukua diesel SGR mpaka Nairobi again.
Pia driving can be possible, imagine unatoka Nairobi unaendesha mpaka Mombasa unachukua Sea star 1 au Sealink 1/2 then mpaka Zanzibar.
Unatoka unaendesha around Zanzibar halafu huyo again ndani Sea star 1 au Sealink 1/2 mpaka Dar unaendesha 14 hrs mpaka Mwanza unapita Dar-Kibaha highway Dodoma ring road unaingia ndani ya Mwanza.
Mwanza una-cross Kigongo-Busisi bridge halafu unachukua MV Mwanza (U/C) tokea Musoma mpaka Kisumu than unaendesha tena!
The future will be beautiful and the experience one gets, will openly tell nani kachezwa! I am confident that will be possible coming 2025! Tourism stakeholders shoud consider this tourism circuit! Nina uhakika jirani atatia ngumu.
Mimi nlivokua mdogo nlipenda sana kenya kuliko nchi yoyote africa ukiacha nchi yangu TZ, ila kama ilivyo kwa marafiki wanaokosana kwa umbea ndivyo ilivyo kwa propaganda zenu dhidi ya nchi yangu zilivyonifanya niione kenya kama ugonjwa. Kati ya magonjwa tuayopambana nayo Tanzania, propaganda za kenya ndio ugonjwa unaoongoza.
Ningependa sana kama hatua ingechukuliwa dhidi ya Nationmedia!Mimi nlivokua mdogo nlipenda sana kenya kuliko nchi yoyote africa ukiacha nchi yangu TZ, ila kama ilivyo kwa marafiki wanaokosana kwa umbea ndivyo ilivyo kwa propaganda zenu dhidi ya nchi yangu zilivyonifanya niione kenya kama ugonjwa. Kati ya magonjwa tuayopambana nayo Tanzania, propaganda za kenya ndio ugonjwa unaoongoza.
Ila niwaambie tu ndugu zangu wakenya, nature ina formula ya ajabu sana na mtaumbuka siku si nyingi. Nyie sio wakwanza kufanya hiyo, India pia imekua ikimfanyia China the same na china ikasongonga mbele bila kujali
Wanaziachia media zao zinaandika uhalo ambao unakuja kujenga chuki baina ya hizi nchi mbili, lkn mwisho wa siku wao ndio watakaoumia we ngoja muoneNingependa sana kama hatua ingechukuliwa dhidi ya Nationmedia!
Inaonekana wewe ni mgeni na Jf, hao wapo wengi tu humu, ila wanajibiwa kwa vitendo na serikali ya Jpm[emoji3][emoji3][emoji3]Watanzania, ingieni hapa muone mjadala unaondelea hapa ya Watanzania wenzenu ambao hawajapumbazwa na uzalendo Kama nyinyi. Msije mkasema ni wakenya kama ilivyo kawaida yenu
Kwa sasa Kenya wanauwezo wa kupima watu 35,000 kwa siku, huku Tanzania uwezo ni 500 kwa siku, ni aibu na fedheha kwa taifa tajiri kama hili - JamiiForums
Pole kaka,mambo hugeuka mtu,ugua pole,penda kwenu wachana na sisi tutamnyima raha kabisa,we are your enemy number OneMimi nlivokua mdogo nlipenda sana kenya kuliko nchi yoyote africa ukiacha nchi yangu TZ, ila kama ilivyo kwa marafiki wanaokosana kwa umbea ndivyo ilivyo kwa propaganda zenu dhidi ya nchi yangu zilivyonifanya niione kenya kama ugonjwa. Kati ya magonjwa tuayopambana nayo Tanzania, propaganda za kenya ndio ugonjwa unaoongoza.
Ila niwaambie tu ndugu zangu wakenya, nature ina formula ya ajabu sana na mtaumbuka siku si nyingi. Nyie sio wakwanza kufanya hiyo, India pia imekua ikimfanyia China the same na china ikasongonga mbele bila kujali
Absolutely gorgeousI think this photo of Nairobi looks great.
View attachment 1436444
Kwa kufinywa sehemu nyeti? π π πInaonekana wewe ni mgeni na Jf, hao wapo wengi tu humu, ila wanajibiwa kwa vitendo na serikali ya Jpm[emoji3][emoji3][emoji3]
Most of the IDs in that post you are referring us to are Kenyans who pretend to comment as Tanzanians. This won't help you achieve anything. Tanzania as a nation has its own ways of doing things. And if we had to copy anything for the development of our country we would rather copy it from developed countries.Watanzania, ingieni hapa muone mjadala unaondelea hapa ya Watanzania wenzenu ambao hawajapumbazwa na uzalendo Kama nyinyi. Msije mkasema ni wakenya kama ilivyo kawaida yenu
Kwa sasa Kenya wanauwezo wa kupima watu 35,000 kwa siku, huku Tanzania uwezo ni 500 kwa siku, ni aibu na fedheha kwa taifa tajiri kama hili - JamiiForums
Anawajibu hivi ndiyo maana wapinzani wa maendeleo wanamchukia [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Kwa kufinywa sehemu nyeti? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Is that how you comfort yourself??Anawajibu hivi ndiyo maana wapinzani wa maendeleo wanamchukia [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1436566View attachment 1436567View attachment 1436568View attachment 1436569View attachment 1436570View attachment 1436571View attachment 1436572View attachment 1436573View attachment 1436575View attachment 1436576
I knew it... π π π I even talked about it in that post. Kawaida sana kwenu kusema watu kama hao ni wakenya. You are calling those IDs as Kenyans just because they are saying the truth. What a horrible way of looking at things!!Most of the IDs in that post you are referring us to are Kenyans who pretend to comment as Tanzanians. This won't help you achieve anything. Tanzania as a nation has its own ways of doing things. And if we had to copy anything for the development of our country we would rather copy it from developed countries.
We can also pretend to be Kenyans with other Ids in this forum and say bad things about what your uhuruto goverment is doing. But that won't help us anything in return. So we concentrate on working on our country's problems. We have no such childish games that can not get you anywhere!I knew it... π π π I even talked about it in that post. Kawaida sana kwenu kusema watu kama hao ni wakenya. You are calling those IDs as Kenyans just because they are saying the truth. What a horrible way of looking at things!!
We are doing target testing at the moment. Those who are targeted for this exercise at the moment do not even reach 10,000 coz we are still testing those in quarantine facilities and contacts. The point is, if our numbers surge (and God forbid), we have the capacity to do 35,000 tests a day. At the moment, we haven't reached there yetnategemea siku mbili zijazo total tests itakuwa 20,268+70,000 (kenya)
View attachment 1436529
Mwana CCM nakuona., propagandist regime, imefilisisha watanzania kwa kuapumbaza tu., ole wako.Inaonekana wewe ni mgeni na Jf, hao wapo wengi tu humu, ila wanajibiwa kwa vitendo na serikali ya Jpm[emoji3][emoji3][emoji3]
πππππππTanzania nchi ya viwonder ni kitu ya kuonea wivu??? π π tangu lini?