Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo boya huenda hata haijui ets
 
Buda hizo ni shobo, kwanini fly emirates, etihad au qatar wasiajiri cabin crews wakikenya kwa safari hata walau za kutokea kwenye hub zao to jkia?
 
Buda hizo ni shobo, kwanini fly emirates, etihad au qatar wasiajiri cabin crews wakikenya kwa safari hata walau za kutokea kwenye hub zao to jkia?
Waambie Tu wakuletee picha ya cabin crew ya ndege za china tuone wakenya wakiwemo ili tuamini kuwa undugu baina ya hzo nchi mbili ni wa damu, la cvyo tuamini tu Wakenya wataolewa kwa shobo.
 
Shidako ni ushamba. What you have there is a mod version of the game. Hivi vitu ata mtoto wa chekechea anafanya tu. Lipi la ajabu hapo? Euro Track Simulator ata ukipenda uonyeshe ukiwa Buza na Uwanja wa Fisi mbona rahisi tu? Haya hapa Mabasi ya Dreamliner na Spanish Coach ikiwa matatu ndio hupendi kuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…