Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ndiyo maana faida yote wanachukua wao na bdo mnajisifu, poor Kunyans[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe ulikuwa unajifanya mwanaume kumbe ni kunguru au ni mwanaume ila huu mwaka kama nilivyo sema Kenya itasota vibaya kimaisha ,sasa mambo yamekuwa magumu umeamua kuwa SHOGA !! NILIWAAMBIA HUU MWAKA UTAKUWA MBAYA SANA KWA KENYA

Send by APOLO 1
Mwakani kwani bado tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL kwa taarifa yako kwa Tanzania katika kada zinazolipwa mshahara mzuri, mafundi ujenzi wapo, Usifananishe mafundi wa Tanzania na Kenya


Mafundi wenu wakija huku wanakua vibarua wa kutumwa materials huko sites
Naona umekuja pazuri kweli, uliza watu wa mipakani ndipo utapata jibu..
Au peleka hii mada section ya tanzania uone vile utakula za uso..

Eti mafundi tanzania wanakula hela nzuri kuliko kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima ajue kutofautisha ets2 game na hicho alicho leta hapo 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…