Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani alisema za mwanamke ndio zinakua nyingi ,it's 50/50 enda usome biology siku zote kwa Mila za kiafrika mtoto anakua wa baba Ndio maana hata akachapisha kitabu , dreams from my father, mbona hakusema dreams from my mother?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, najua kwamba ww ni mkenya upumbavu mmeumbiwa ngj nikukubalie, ok Obama ni mkenya kwahyo ulitaka kumaanisha nini?
 
Ulipoulizwa kuhusu faida ya Atcl ulisema nini? Didn't you mention turnover?
unajua tulipoanzia mm na huyo kilaza mwenzio ww huoni kwann kanyamaza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anajua wapi kashadakwa
 
na hio macbook ya 2007 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio unauwezo wakuishi tanzania huku zinauza mpaka laki mbili
Niligundua hichi kitu baada ya kuona hiyo rangi na logo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikamute tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ