Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuelewa kijana wa tandale. Kitu ngumu kwako kukiri ni kwamba atcl is making losses. Hiyo hutaki kusema hata kidogo πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
ilikufa na ikafufuliwa juzi tu hapa so hata hilo pia unataka kuthibitisha ww ni mpuuziπŸ˜‚πŸ˜‚ yani ukweli munaujua ila munakwepa aibu
Tangu ifufuliwe imetengeneza faida/hasara ya shilingi ngapi?
 
Nimefrahi sana, you have brightened my day kwa positive vibe kama hili.
 
Hakika tutashinda
 
Kenya ya wazungu kweli, hapo nimekubali,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eti tycoon ni mtu tajiri kupindukia...
Njoo kesho nitakuelewesha zaidi..
Mlale salama wan jamvini, leo ilikua siku yangu ya kukesha jf

Sent using Jamii Forums mobile app
hebu nenda usikie hilo jina tycoon wanaitwa watu wa aina gani ingia google uangalie hahaha joho tycoonπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajua wakat unaongelea hilo neno sikujua unamkusudia nani kumbe joho never ever
 
Nakuelewa kijana wa tandale. Kitu ngumu kwako kukiri ni kwamba atcl is making losses. Hiyo hutaki kusema hata kidogo πŸ˜‚ πŸ˜‚
atcl imeanzishwa juzi usitegemee profit within a short period of time hasa kwenye big investment kama hio πŸ˜‚πŸ˜‚ muki kwenye game miaka 50 eti bado munamiliki ndege tatu alaf leo munatafuta mchawi wa loss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…