Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio haijawah ingiza faida na ilikufa kabisa sasa alipoingia kiboko yenu kanunua ndege 14 in total brand new na kuifufua [emoji122][emoji122] happy now
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]ichoboy leo kakubali, hii comment nitaisave[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiku mwema..
Usiwai linganisha kampuni ambayo haijawai ingiza faida na wala haitoi revenues za maana katika na the mighty KQ..

[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Air tanzania inawanyima usingizi majirani plz magufuli naomba twende mos mosπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]ichoboy leo kakubali, hii comment nitaisave[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiku mwema..
Usiwai linganisha kampuni ambayo haijawai ingiza faida na wala haitoi revenues za maana katika na the mighty KQ..

[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]

Sent using Jamii Forums mobile app
isiringanishwe na inayomiliki ndege tatu miaka 50 na hasara ya miaka nane mfululizoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tycoon ni nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
hehehe kwamba joho ni tycoon mamaeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
3FE96700-4833-4FE1-A029-55C2BBB5184D.jpeg
 
Back
Top Bottom