Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo umempa za uso. I didn't see this coming πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚. TKO hiyo
We kenyua tu ila tukifanikiwa kuinvest kwenye viwanda vya finishing materials zaidi hilo gap hamtaweza kucover maana tushawaacha kwenye building materials mbali sana
 
Anyway hayo ya majumba ya wanaume wenzetu hayana tija katika ishu zetu hapa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Yamewashinda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mmepekua kote mmekosa chochote cha kubackfire eti mmekuja na kisingizio cha mambo ya wanaume πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


Kaeni hapo niwanyoe mimi ndio kwaaanza shehena haijafika hata robo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…



Vitu Konki Kenya hivi mtavionea kwenye social media tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ πŸ‘β„’οΈ

 
Zishawekwa hapa cna haja ya kurudia we panda juu utaziona
That's typical of bongalalas like you. That's how they talk when they can't prove a point. Kenya can't copy a country like danganyika that doesn't test people exposed to the virus just because they do not show any signs of the disease. Hiyo ni nchi ya kucopy kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…