Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi mijengo ndo huwa wanaishi kina CR7, Beckham, Messi, The late Kobe, Chris breezy and other alikes.
Nairobi zinahesabika wakati Tanzania saivi kila mtu ndio fashion

Unajua gharama za kujenga Tanzania ni ndogo sana, kwenye building materials Tanzania zipo cheap kichizi yaani laiti Tanzania tungekua tuna viwanda vya kutengeneza most of the finishing materials na electronic gadgets za kwenye nyumba ingekua poa balaa


Ila all in all bado cost of having a decent quality home, kwa Tanzania bado ni cheaper sana nafikiri Africa tunaongoza.
 
Hakuna sababu mipangomiji wapo makini kichizi mpaka aina ya structure na positioning

Mbweni na penyewe ni dangerous, hizi dream houses zimeota kama mushrooms kule.
Tuliwaambia hapa kwmb cku tukicharuka kuanza kupost mavitu mapya humu hamtajibu ona sasa wanavyoviziana [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…