Una picha nyingine zaidi ya hiyo? Society isn’t perfect. But, it doesn’t mean kuwa Dar hakuna watu wanaoidhi maisha mazuri sana. Kumbe ka huu Ndio mji wa kibiashara wenye dollar millionaires wengi kuliko wenu kwa hiyo hiyo picha ni utoto tu unakusumbua.Tunajua wabongolala huishi maisha mazuri kama hayaView attachment 1427104
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo ndio umefanya kitu gani!?
Sijakupatia estate yoyote kijana.
Umeangukia pua.
Acha umbea kikehboyUswazi tu,hiyo ni lifestyle poa sana kama ulaya hivo,poor ldc
Una picha nyingine zaidi ya hiyo? Society isn’t perfect. But, it doesn’t mean kuwa Dar hakuna watu wanaoidhi maisha mazuri sana. Kumbe ka huu Ndio mji wa kibiashara wenye dollar millionaires wengi kuliko wenu kwa hiyo hiyo picha ni utoto tu unakusumbua.
Mbona umeanza kuhaha!!!Pia we ni mjinga wa kupost kitu kama hiki wakati unajua kwa ground hakuna kitu na on top of that ni ya 2017View attachment 1427143
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwikwikwikwikwi. Unaongelea mabanda ya Nguruwe wanaoishi watu huko Mathare na Kibera.
Kwikwikwikwikwi. Unaongelea mabanda ya Nguruwe wanaoishi watu huko Mathare na
Sasa watu wanaoishi na vinyesi utasemaje wewe!?
Mbona umeanza kuhaha!!!
Dar inaizidi nairobi kwa $3B.
Tatizo lako ushamba unakusumbua. You don't have exposure
We jamaa unapenda kujifurahisha mwenyewe.Eti millionaire wa Dar huishi kwenye mabanda!!!..lakini masikini wa Nairobi huishi hapaView attachment 1427149
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete mupyaa, hv hujiulizi kwnn tunawazd idadi ya milionea? Ss unashangaa nn kuhusu estate za Dar kuwa valued high than those in Nairoba... Pathetic [emoji3][emoji3]Pia we ni mjinga wa kupost kitu kama hiki wakati unajua kwa ground hakuna kitu na on top of that ni ya 2017View attachment 1427143
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesema huna exposure.Ni hahe sababu ya kijiji kidogo kama hikiView attachment 1427162View attachment 1427163
Sent using Jamii Forums mobile app
Even in Thika[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwikwikwikwikwi. Unaongelea mabanda ya Nguruwe wanaoishi watu huko Mathare na Kibera.
Kijana nimekwambi acha utoto. Dar es salaam is almost 3 bigger than Nairobi.Hii project ikikamilika tuta switch hii battle iwe Kasarani vs DarView attachment 1427183View attachment 1427184
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mmeanza na ghorofa moja uuuwiiii mbavu zangu [emoji3][emoji3][emoji3]Hii project ikikamilika tuta switch hii battle iwe Kasarani vs DarView attachment 1427183View attachment 1427184
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kaa ifikirie. Kuhusu Slum dwellersNi hahe sababu ya kijiji kidogo kama hikiView attachment 1427162View attachment 1427163
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko TZ kuna city ingine kubwa na yenye iko na majengo makubwa kama ya dar? Apart from Nairobi Kenya, there is another city which is coming very soon and is called Tatu.. unaijua hiyo?Kijana nimekwambi acha utoto. Dar es salaam is almost 3 bigger than Nairobi.
Hayo majengo Dar ni mengi mno.
I mean 10fls buildings yanaweza kufika 1000.