Kwani hicho kipo kwenye mlima Kenya??? Huijui Hata Geography ya nchi yenu. And you are right kuhusu uniqueness ya attractions that every country holds. Sasa kuniquote picha zangu kuonyesha “equivalent” ya attractions zetu huko Kenya ulikuwa una Maana gani?Leta kama hiki hko juu ya mlima Kilimanjaro, come on,,
Ati Lake Michigan??? LmfaoList of glacial lakes and tarn on mt Kenya
1.lake Michigan
2.lake rutundu
3.lake Ellis
4.lake Alice
5.lake carr
6.Harris tarn
7.hausberg tarn
8.tereki tarn
9.oblong tarn
jibu swali kutoka CBD kwenda upperhill ni km ngap na kutoka CBd kwenda westland ni km ngap nasubiria majibu😂😂😂Ndio hiyo Westlands pia in kilometres kama ulivyo omba wakati mmoja...kwanzia kwenye hilo jengo la kwanza (ABC) hadi huko unaezaona ndiko cbd ya WestlandsView attachment 1426111View attachment 1426113View attachment 1426114View attachment 1426116
Sent using Jamii Forums mobile app
siku utapata oificial source kwamba nairobi ina CBD nne mm ntakua mtu wa kwanza kufunga acc jamii forum 😂😂😂😂😂Nairobi ina CBD zaidi ya nne na pia ukiangalia hiyo map ya Dar nimejumuisha Posta,kariokoo, upanga na ilala na bado hazifiki Kilimani. Then cheki Westlands ilivyopana yani mara mbili ya Posta,upanga,kariokoo na ilalaView attachment 1426136
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi ina CBD zaidi ya nne na pia ukiangalia hiyo map ya Dar nimejumuisha Posta,kariokoo, upanga na ilala na bado hazifiki Kilimani. Then cheki Westlands ilivyopana yani mara mbili ya Posta,upanga,kariokoo na ilalaView attachment 1426136
Sent using Jamii Forums mobile app
msaidie mwenzako kuleta official source kua nairobi ina CBD nne siku mutapata mm niwe wakwanza kufunga account jamii forum😂😂Hizi ni vitu common sana,look at unique things in the world like thisView attachment 1426215View attachment 1426216
ndo maana majengo yanadondoka kila siku!yaaan kenya ni hewa angalia ujenzi wao huko kakamegaView attachment 1426298
Sent using Jamii Forums mobile app
Soon Tz itageuka kuwa favourable destination in the world, ama kwa hakika jiwe amejitahidi sana kuitoa hii nchi shimoni nowadays kila wizara inajitahidi kuhakikisha ina deliver what is needed to its best
Naona hata economics kumbe hata heri mimi, yani hujui pesa inacheza wewe..so within three weeks imetoka 23 imefika 21 huoni maajabu wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafuta mtu akufundishe economics uone impact yake
Sasa tukiweka kwa square kilometers ndio utakimbia toka kwa hii forum....yani dar bado sanaHivi umeenda shule wewe? Kwa nini una-measure ukubwa wa kitu kwa distance? Kwani unapima urefu wa barabara? Tumia units za Square kilometers au square miles kupima area ya CBD zote mbili Ndio ulete hapa.
Uswazi na slums ni madugu,
I think ingewasha ATCL more than KQ, mlinunua Dreamliner za kupark kwa airport?Hii kitu mkuu imewauma sn wakenya yn wamepigwa in out [emoji3][emoji3][emoji3]