Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani amesema watu waombe bila kuchukua tahadhari yoyote?
Au amesema vipimo, quarantine na hatua zote zimesitishwa kwa hiyo tuombe?
Kiswahili kumbe ni lugha ngumu!
Aliwaambia muombe kutoka siku za mwanzo na bado anawwambia tu muombe hata baada ya 53 new cases in a day! Kwani maombi yenu yanapotea Kwa mawingu? Na vile mlifungia nyuzi hapa ndani kupenda kenya kuhusu Covid!! Karma is a biach 😂 😂 😂
 
Kwa hiyo kisa maombi hayajajibiwa tuache kuomba?
Nyie njia mlizochukua mbona hakuna hata moja iliyofanikiwa?
Mkoloni aliondoka na akili zenu.
 
53 new cases and this is what a president can say! Things are tuff small
View attachment 1422597
Zile nyuzi zenu mlifungia kuchamba Kenya bado zipo? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani amesema watu waombe bila kuchukua tahadhari yoyote?
Au amesema vipimo, quarantine na hatua zote zimesitishwa kwa hiyo tuombe tu?
Kiswahili kumbe ni lugha ngumu!
Ata hivyo majibu yamejipa[emoji116][emoji116]
JANGA LA CORONA: 127 wapata nafuu, walioambukizwa 147
Screenshot_2020-04-18-17-09-40.jpeg
 
Cha ajabu ni kwamba wakenya wanajaribu kujifariji kupitia cc wakati cases zao ni nyingi kuliko zetu yn hawa ni wajinga sana na ndiyo maana tumepiga ban vitu vingi walivyokuwa wanategemea kutoka kwetu hususani mazao ya chakula, cz tumeamua na cc kuwa na roho mby km wao na hapo ndipo nnapompenda Magu, he knows how to deal with jealousy people.
 
Sasa kweli hiki Kijiji. Kandi na barabara ni vumbi tupu. Nashangaa. Mbona Watanzania hupost vitu Kama hivi!? Na wote wanalike eti!!!!!
Because we live our lives, cc co km nyinyi mnapenda cfa wkt uwezo huo hamna, yn hampost picha mpk muipake shedo, wajinga sana Wakenya
 
Kwa hiyo kisa maombi hayajajibiwa tuache kuomba?
Nyie njia mlizochukua mbona hakuna hata moja iliyofanikiwa?
Mkoloni aliondoka na akili zenu.
Huenda hayajafanikiwa ila we've not reported 53 cases in a day.
 
Sasa kweli hiki Kijiji. Kandi na barabara ni vumbi tupu. Nashangaa. Mbona Watanzania hupost vitu Kama hivi!? Na wote wanalike eti!!!!!
Utaendelea kushangaa huku sisi tunasonga mbele only time is the best judge ever!
 
Back
Top Bottom