Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Wewe unaijua Tanzania kuliko viongozi wa serikali?Sio kw wavunja sheria, usinione ni km sikuisoma hyo habari..
Leseni zitafutwa kw wasiopunguza bei, sasa wewe utaanzaje kumwambia mtu apunguze bei wakati hujui chanzo ni nn...
Wafanyibiashara wana chama chao, sasa ilitakiwa wafuatilie km soko linaendaje kwanza wala sio mihemko ya kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app