Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ohhh kumbe za 90s mwambie ndugu yako atafute za 2020 za dar😂😂😂
Za Dar 2020 ndio hizi hapa
2369398_tapatalk_1586508228851.jpeg
2284725_2284615_1921173_kijitonyama_2_2.jpeg
2257614_IMG20191228110427.jpeg
2236463_tapatalk_1544391491947.jpeg
Screenshot_20190801-184138.png
Screenshot_20190801-151402.png
Screenshot_20200216-004315.png
 
Kwani nani kasema hawaendi kisa mkulima?

Acha kujitengenezea conspiracies za kipumbavu, kuna statement official kutoka ATCL inasema hivyo?
Imebaki sasa mnarushiana matusi!!! 😂 😂 😂 Hata mimi pia Nilicheka hiyo statement yake kuhusu mkulima. Kama ni kweli basi hiyo ni kisingizio tu, ukweli ni kwamba ATCL ilishindwa kuhimili ushindani kwenye ile route. They had to throw in the towel sooner than expected. Hadi leo kuna baadhi wenu hapa ndani ambao bado wanasingizia machafuko as the only reason ATCL hasn't resumed flights to SA
 
Back
Top Bottom