Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jomba nimekuonjesha tu, lkn siwezi engage mjadala wa club..especially mombasa na kijiji sehemu flani hko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jomba nimekuonjesha tu, lkn siwezi engage mjadala wa club..especially mombasa na kijiji sehemu flani hko

Sent using Jamii Forums mobile app
uhehehe umeshachungulia moto tayar😂👇
D3099034-BBBA-4F29-8FCA-E899A1DE6488.jpeg
 
Kabla uulize ya jirani, umejiuliza yenu imepata faida ya Shilingi ngapi?
afadhal yetu ndege zinamilikiwa asilimia 100 nyinyi munamiliki ndege 3 out of 40 munategemea nn😂😂😂😂😂 dunia itapinduka mwaka huu
 
kuna wakat kweny maisha inabid tutumie Loss and Profit analysis.. kwann tuache kwenda SA kisa mkulima.. tukianza leo kwenda huko, tutaimarisha zaid hii route for future.. kuliko kutokwenda saiz kisa mkulima na kuiacha hii route airlines zingine wazitawale.. SA ni nchi kubwa, huwezi kuiacha kisa mkulima!
Kwani nani kasema hawaendi kisa mkulima?

Acha kujitengenezea conspiracies za kipumbavu, kuna statement official kutoka ATCL inasema hivyo?
 
Back
Top Bottom