Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mmmmm!!lkn mw sasa itabidi serekali imetumia nguvu ili msiumie.. manake watanzania nao kwa kupangiwa bei na serekali hamajambo
Nchi zote zenye akili huwa zinapanga bei kusaidia baadhi ya masoko, au mpaka usikie wazungu wakisema "subsidies" ndo utaona sawa?
 
Nchi zote zenye akili huwa zinapanga bei kusaidia baadhi ya masoko, au mpaka usikie wazungu wakisema "subsidies" ndo utaona sawa?
Hahaaa!!akili za kijamaa hzo, wala huwezi kuta nchi zinazojielewa eti mnaekewa bei elekezi..
Kwn hakuna wakulima sacco, wafanyibiashara pia hawanaga chama chao..

Nakumbuka yule waziri wenu aliposema mkulima alime yeye, kila kitu amejisimamia yeye halafu uje umuwekee bei elekezi kisa kw minajili ya ujamaa..hyo itakua ni kuumizana tu walai..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani jamaa hana ufahamu km huo ni mtambo wa nn, yeye bado anabweteka tu[emoji1787][emoji1787]
Kaa ukiuliza wakati mwngine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu wote wanafanya hivyo kwenye biashara za mazao, sasa sijui nyinyi mnashindwa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ