Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hiv class ya middle income country ya kenya mlitoaga wap?[emoji23][emoji23]

IMF inawatambua kenya kama low income country [emoji23][emoji23]

sema Tanzania inadharauliwa sana, lets wait and see what will happen in 2021
View attachment 1419020
ndo maana kila siku nagombana na watu wanaotaka kum-distract JPM yaani wamuache kabisaa amalizane na mipango yako! Baada ya hapo ndo tunaweza kukosoa! I pretty believe tuko in a right track!
 
Kweli yaani angalia hata hii πŸ‘‡πŸ‘‡CBD ya Nakuru, kafinyu then wanaleta picha moja za jengo moja moja kumbe kamji kenyewe ni level ya Musoma town View attachment 1418760
Oneni huyu chizi,anadhani hii dyo town yote,where is "one tower",merica hotel,,????
Baada ya Kisumu kula dozi kali kwa Arusha mmehamia Nakuru πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa shuhudia nakuru kipigo itachopewa na Moro town, mji kasoro bahari πŸ’ͺ
Ebu rudia tena,kisumu
 
mbona deni dogo linawatoa uharo[emoji23][emoji23][emoji23]
Lini wachina walisema hatujawalipa au tumeshindwa kuwalipa..
Yani hapa ni hoja tu wala sio maneno ya khanga, tuone nani ataanza utoto..

Niletee link hapa tuliopewa onyo ya kukosa au kuchelewa kulipa deni lao kutoka exim bank of china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…