Correction, ukienda hko leta km anavyoleta mwenzako..yani anakuletea gated communities na majina yake kabisa...Yaan unachofanya ni kama niende upanga au kariakoo hata magomeni na kuanza kupost jengo mojamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni part ya ilala👇👇👇
👇👇👇😂😂😂😂Tunajua hako kafishing village vizuri kuwalikoView attachment 1417687
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia stairs,haijashikiwa na chochote kwa kwa chini 😀
Keshakimbia mzee[emoji3][emoji3]nipe km from CBD to westland na km from CBD to upperhill nasubiria jibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂namuona fundi michael yupo bize kweli kweli hizo ngazi ni ajali mkuu[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
wakenya wanasafari ndefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana nadhani mkuu ss anaeleweka vzr
But now you have realized mambo kwa ground ni different 😅Tuanzie hapa mkuu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1417664
Kwn satirs huaga zina nguzo maalum[emoji51][emoji51][emoji51]Angalia stairs,haijashikiwa na chochote kwa kwa chini [emoji3]
Kwani hii kulala haina picture ingine,wacha tuona mambo kwa ground kaka 😂 🔫hii ni part ya ilala👇👇👇
View attachment 1417691
Yes, mambo kwa Ground [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]But now you have realized mambo kwa ground ni different [emoji28]
This is not the ground,, writings hatutambui,bring those real estates tuoneYes, mambo kwa Ground [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1417719
Unajua mkuu tatizo Dar ni li Giant sn na ndo mana real estate zinaonekana chache compared to za Nairoba, lkn ukweli ni kwamba km estate za Dar zitawekwa nai, basi zitajaa sn na nyingine zitamwagikaUsishindane na Dar, iko mbele yenu kwenye haya mambo na ndo maana wewe na mmeo mnahitaji exposure
View attachment 1417619
Hii hoja mbn tushamaliza, nenda kawaulize WB wakuoneshe hzo real estates za Dar, mana kwa ukubwa wa Dar mm mwnyw nyumba nyingi czjui zikiletwa hapa huwa nashangaa, ila nyie Nairobi ndogo lazima mzijue zote[emoji3][emoji3]This is not the ground,, writings hatutambui,bring those real estates tuone
Hiyo ni hatari mkuu,ipo siku hiyo nyumba itajibu,mmiliki ni ndugu yangu na sikumficha hatari iliyoko hapo,angalia hiyo picha uone type za ghorofa zinazojengwa TZ,tofali inalazwa,na kila kona kuna nguzo iliyoshiba nondo za mm za maana,hiyo yote kulinda uzito ulio juu wa hilo jengo,kitu ambacho huko kwenu amzingatii usalama kabisa
Yani nimekushangaa sn, eti bila woga unasema hili ghorofa lipo sawa na halina shida yoyote, Dah Wakenya cjui mnakwama wapi hebu cheki bomu[emoji116][emoji116]Hahaa!!hyo nyumba haina tatizo lolote, ni vile waliijenga kuunga tu ndio manake unaidharau..
Ulitaka wajenge vipi wewe wakati si ajabu hata hela ya mchoro ilikua tabu...
Tena likoni ni mawe matupu, yani hapo utaomba sana huo mjengo uanguke lkn zii
Sent using Jamii Forums mobile app